al jinn
Member
- Aug 25, 2013
- 48
- 15
" Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, ni mambo gani aliyoyatenda Mungu! "
= > HESABU 23 : 23
![]()
Badala ujivunie mkwawa ama kinjekitile unajivunia huyo msyria yakobo?
Subiri waje.
Juda's is satan's
Kiongozi, yalimshinda jibril, wataweza hawa makafir wa kiislamu.
wa wapi?
Hao kina kinje?.
Jibril=gabriel.
Hamia Israeli basi tujue moja.
hapa ngoja aje bi mkubwa Foxy na matusi yake!!!
Hapa washaanza, sijui Mungu gani ambae huwaruhusu kumdhihaki mwenzie kiimani!!! Shame up on them.......Yatendeni mambo yote pasipo manung'uniko na mafarakano....
Nyie ni wayahudi?au mnawashwa tuu.