Marekani ina kibarua kigumu Syria

Marekani ina kibarua kigumu Syria

Status
Not open for further replies.
Kusema ukweli kwa dunia yetu ya leo misimamo mikali ya kidini haiwezi kuendana wala kukubalika kwenye dunia ya kistaarabu ya leo

Mgogoro huu unajengwa sana ionekane ni isis vs us lakini si sahihi sana
Wamechinjwa wamarekani wawili tu hadi hivi sasa na kuwa gumzo lakini tunasahahu maelfu kwa maelfu wanaochinjwa kama kuku na isis

Bila kujali isis ilianzaje lakini hakuna namna dunia inaweza kukaa kimya kwa unyama unaofanya na isis dhidi ya wakurd, wakristo na dini zingine baada ya kutamgwaza dola la kiislam

Nawapenda waislam lakini siipendi vitabu vyao sababu nje ya muislam vitabu vyao havitambui dini zingine kama wanahaki na kuwaona takataka

Ukiona jinsi isis wanavyohukumu na adhabu wanazotoa huwezi kuamini kama hii ni dini ama nini
Kuchinja watu hadharani na kuninginiza vichwa vyao mjini, kuuwa watu hovyo hovyo......no way bana haikubaliki kabisa
Na kumbuka hapo wanauwana wao kwa wao. Kufundisha chuki watoto dhidi ya dini zingine nk
Hawa jamaa kusema ukweli walitakiwa wakakae kwenye sayari yao peke yao labda wangeelewana

Uislamu haufundishi hayo wanayoyafanya.
 
Ni vigumu kwa mtu ambaye teyari anachuki za kidini juu uislamu kukubaliana na hayo mnayosema kuhusu marekani,hivyo kwa mtu wa aina hiyo hata kama ningekuwa ndiyo mie nami ningeitetea marekani.
 
Ukweli ni kuwa hapakuwa na sehemu salama,israel walikua wanasema ondokeni huku hamieni huku kisha wanakoambiwa kuhamiwa ndo panashambuliwa.
mashirika ya umoja wa mataifa yaliyoko gaza yalikua yakitoa hadi GPS coordinate kwa israel ili wasishambulie eneo fulani kuna watoto lakini israel walipiga hapohapo na kuua watoto.
UNSchool1.jpg
.

Inakuwa ngumu sana kuniekewa HAMAS walifanya wanawake,watoto na wazee kuwa HUMAN-SHIELD kwa kurusha maroketi Israel tokea eneo walipo wanawake,watoto na wazee hivyo kusababisha Israel inapojibu mapigo ipige kwenye roketi lilipotokea na kwa kufanya hivyo HAMAS iliwatoa kafara raia wasiokuwa na hatia,ila safe heaven zilikuwepo ingawaje HAMAS walikuwa wanadai kama wewe unavyodai.HAMAS waliweka maroketi yao kwenye nyumba za Ibada,Shule,Hospital na kwenye majengo ya UN na UNRWA wakijua kuwa Israel itavipiga vituo hivyo itakapokuwa inajibu mapigo,baada ya kuona hivyo walianza kupiga kelele kwenye jumuia za kimataifa na nchi zingine ili tu waonewe HURUMA bahati nzuri wengi walikuwa wamegundua Janja ya HAMAS ya kuwatoa kafara raia wasiokuwa na hatia nchi za kiarabu na jumuia za kimataifa ilibidi wakae kimya wasikilize mziki ulivyokuwa unaendelea.
 
Uislamu haufundishi hayo wanayoyafanya.

Ila unabariki wamarekani wawili waliochinjwa na ISIS na wanashindwa kuona maelfu ya waarabu wanaochinjwa kama kuku hapa inaonekana kama mmarekani 1=waarabu maelfu kwa njinsi wanavyoshabikia kuchinjwa kwa wamarakani 2 na kushindwa kulaani kwa nguvu zote mauaji ya waarabu lukuki,mimi naamini binadamu wote ni sawa.
 
Ile masikini nimeiweka for your benefit man,wala usidhani nawasikitikia kwani wanakua wameyataka wao wenyewe(i mean hao wamarekani).
as for isis killing arab sioni tofauti na wanyarwanda watusi kuua wahutu,ama wacongo kuua wanyamulenge ama waukraine kuua waukraine.siweki label ya imani yao kama unavyotaka wewe niweke.
sasa ajili wewe ni mdini unafikiri wote tunajurge vitu vyote kwa udini.

Mimi naongelea fact iliyokuwepo wala si Dini wala usinipeleke huko.
 
Eyewitnesses Testify: Pope Francis Raped and Killed Children; Sealed Vatican Documents Expose Their Satanic Rituals
27 Recent Articles, Satanism, Satanist Pedophiles 12:52 PM A + A - Share on print Print Share on email Email
Last month I was reporting that Pope Francis, the Jesuits and the Church of England will be prosecuted for child trafficking and genocide. The Queen of England was already found guilty by a previous trial.
Here is how the trial is unfolding:
This article was based on today's exclusive interview with Kevin Annett of the International Tribunal into Crimes of Church and State on this week's litigation in the Brussels Common Law Court of Justice.
Five judges and 27 jury members from six countries including the USA, considered evidence on over 50,000 missing Canadian, US, Argentine and European children who were suspected victims of an international child sacrificialcult referred to as the Ninth Circle.
Two adolescent women claimed that Pope Francis raped them while participating in child sacrifices. Eight eyewitnesses confirmed the allegations according to evidence presented this week at a Brussels Common Law Court of Justice.
The Ninth Circle Satanicchild sacrifice rituals were said to take place during the Springs of 2009 and 2010 in rural Holland and Belgium.
Pope Francis was also a perpetrator in satanic child sacrifice rites while acting as an Argentine priest and Bishop according to records obtained from the Vatican archives.
A prominent Vatican official and former Vatican Curia employee obtained the sealed documents for use by the court. This was not the first time satanic activities were suspected to be at the Vatican according to this ABC news story.
Another witness was set to testify that they were present during Pope Francis' meetings with the military Junta during Argentine's 1970's Dirty War. According to the witness, Pope Francis helped traffic children of missing political prisoners into an international child exploitation ring run by an office at the Vatican.
Evidence of a Catholic Jesuit Order document called the “Magisterial Privilege" was presented in court by the Chief Prosecutor. The record dated Dec. 25 1967 was said to show that every new Pope was required to participate in Ninth Circle Satanic ritual sacrifices of newborn children, including drinking their blood.
“Documents from Vatican secret archives presented to court clearly indicate that for centuries the Jesuits had a premeditated plan to ritually murder kidnapped newborn babies and then consume their blood," the Chief Prosecutor told the five international judges and 27 jury members.
"The plan was born of a twisted notion to derive spiritual power from the lifeblood of the innocent, thereby assuring political stability of the Papacy in Rome. These acts are not only genocidal but systemic and institutionalized in nature. Since at least 1773, they appear to have been performed by the Roman Catholic Church, Jesuits and every Pope.”Two witnesses claimed that as children they were at child sacrifices with the former Pope Joseph Ratzinger. Since at least 1962 Ratzinger participated in child sacrifices as a member of the Knights of Darkness according to the Vatican records presented at court. Ratzinger was an S.S. Chaplain's assistant at the German Ravensbruck Concentration Camp during World War II.
The children to be killed were supplied from prisoners at the death camp. The Nazi Waffen S.S. Division Knights of Darkness was established by Hitler in 1933 and embraced ancient pagan occult beliefs in human sacrifice.
Dutch Therapist-ritual abuse survivor Toos Nijenhuis testified of her witness to child sacrifice in this video:
“Survivors of these rituals describe newborn babies being chopped to pieces on stone altars and their remains consumed by participants” the Chief Prosecutor said."During the 1960's the survivor-witnesses were forced to rape and mutilate other children and then cut their throats with ceremonial daggers."According to witnesses Pope Francis, former Pope Joseph Ratzinger, Jesuit Superior General Adolfo Pachon and Anglican Archbishop of Canterbury Justin Welby were participants in the Ninth Circle Satanic child sacrifice cult rape and killing of children.
Evidence also could link to cult ceremonies UK High Court Justice Judge Fulford, members of the British Royal Family including Prince Phillip, Dutch Cardinal Alfrink, Dutch Queen Wilhemina, her family and consort King Hendrick, Belgian Royals and Bilderberger founder Crown Prince Bernhard.

We have nothing to do with Pope Francis
 
Kwamaana hiyo kumbe hata gaza huijui,wakimbilie maeneo salama yapi?
in case kama hujui gaza ina ukubwa kama eneo la mnazi mmoja,na mashambulizi yalikua yanatokea kila upande,na incase kama hujui gaza imefungwa,

Gaza mimi naifahamu vizuri sana hivyo ninapoongea naongelea uhalisia.
 
Ila unabariki wamarekani wawili waliochinjwa na ISIS na wanashindwa kuona maelfu ya waarabu wanaochinjwa kama kuku hapa inaonekana kama mmarekani 1=waarabu maelfu kwa njinsi wanavyoshabikia kuchinjwa kwa wamarakani 2 na kushindwa kulaani kwa nguvu zote mauaji ya waarabu lukuki,mimi naamini binadamu wote ni sawa.
Ulishalaani wazungu wanaua wazungu ukraine?,au uko busy kusifia majeshi ya kimarekani?
 
Tatizo hata huweki source kusupport fact zako.

Natumia mobile ndiyo maana siweki hata hivyo yote ninayosema ni very known kwa wengi maana hata vyombo vya habari na mitandao mingi vilishatangaza naamini haya yako wazi sana.
 
Inakuwa ngumu sana kuniekewa HAMAS walifanya wanawake,watoto na wazee kuwa HUMAN-SHIELD kwa kurusha maroketi Israel tokea eneo walipo wanawake,watoto na wazee hivyo kusababisha Israel inapojibu mapigo ipige kwenye roketi lilipotokea na kwa kufanya hivyo HAMAS iliwatoa kafara raia wasiokuwa na hatia,ila safe heaven zilikuwepo ingawaje HAMAS walikuwa wanadai kama wewe unavyodai.HAMAS waliweka maroketi yao kwenye nyumba za Ibada,Shule,Hospital na kwenye majengo ya UN na UNRWA wakijua kuwa Israel itavipiga vituo hivyo itakapokuwa inajibu mapigo,baada ya kuona hivyo walianza kupiga kelele kwenye jumuia za kimataifa na nchi zingine ili tu waonewe HURUMA bahati nzuri wengi walikuwa wamegundua Janja ya HAMAS ya kuwatoa kafara raia wasiokuwa na hatia nchi za kiarabu na jumuia za kimataifa ilibidi wakae kimya wasikilize mziki ulivyokuwa unaendelea.
Jumuia ya kimataifa zililaani ikiwemo UN,EU na mashirika ya haki za binadamu yakiwemo maandamano ufaransa,italy,uk,america ya kusini yote,south africa etc kasoro marekani,ulikua huoni?
 
Ulishalaani wazungu wanaua wazungu ukraine?,au uko busy kusifia majeshi ya kimarekani?

Labda huo ndiyo msimamo wako wewe issue hapa ni ISIS wala si Ukraine,hata hivyo ukitaka ya UKRAINE anzisha huo uzi sisi tutachangia.
 
Jumuia ya kimataifa zililaani ikiwemo UN,EU na mashirika ya haki za binadamu yakiwemo maandamano ufaransa,italy,uk,america ya kusini yote,south africa etc kasoro marekani,ulikua huoni?

Hayo yalikuwa matamko kama yanayotolewa na CCM au CDM tu. je kulipitishwa Resolution gani au namba ngapi ya UN,nchi au mtu yeyote anaweza kulaani hata mimi mwenyewe nililaani HAMAS kuwafanya raia kuwa kinga yao.
 
Mi huwa nawashangaaga nyie raia humu ndani kila kauzi lazima muutaje uislam hebu fwateni yenu..mambo wanayoyafanya hao IS hayakubaliki kwenye uislam pia kama IS ni mpango wa marekani sisi hatujui kwa sababu hatuna ushahidi nayo..
 
Ninataka kuchangia lakini naogopa kutumiwa JINI.
 
Hayo yalikuwa matamko kama yanayotolewa na CCM au CDM tu. je kulipitishwa Resolution gani au namba ngapi ya UN,nchi au mtu yeyote anaweza kulaani hata mimi mwenyewe nililaani HAMAS kuwafanya raia kuwa kinga yao.
So hata hujui kuna movement ya kuboycot israel product?.
na pia hujui kuwa kuna maelfu ya UN resolutions agaisnt israel sema haziwezi kuwa implemented sababu ya veto ya marekani?
 
Lakini hukulaani israel kuwafanya raia zake kama ngao,kwa kuhifadhi silaha zake maeneo ya raia?.au silaha za israel wanahifadhia timbuktu?
 
So hata hujui kuna movement ya kuboycot israel product?.
na pia hujui kuwa kuna maelfu ya UN resolutions agaisnt israel sema haziwezi kuwa implemented sababu ya veto ya marekani?

Boycot Israel Product ni ndoto za mchana computer,simu unayotumia,vifaa vya hospitalini na mengine mengi made in Israel,Hiyo kitu ni maneno tu ni sawa na ukiwa Tanzania useme una-boycot bidhaa za Bakresa utakuwa unachekesha.Umeshindwa kunipa Resolution namba ngapi lililopitishwa kwenye hiyo Operation Protective Erge,mimi siamini kama kuna Resolution yoyote ilipitishwa maana wote waliona Janja ya Hamas huko Gaza ya kutoa kafara raia wa kipalestina.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom