What's the last movie that made you cry?

What's the last movie that made you cry?

Kuna hio movie ya kihindi aashiqui ilinifanya nitoe chozi na ilinitesa takribani wiki nzimaa naifikiria yenyewe tu...na nyingine ingawa sikutoa chozi ila niliumia tu ni the hobbit:battle of five armies iliisha vibaya killi na thorin kufa

Mkuu hiyo movie ya kihindi ni ya mwaka gani uliyoiona nimegoogle nikakuta 1990 $ 2013 nataka nidownload nichek
 
Kuna animation flani hv imeigizwa milipuko ya nagasaki na hitoshima daaa ililiza sio peke yangu wengi tuliokuwq tumekaa tunaangalia ilituliza jina nimesahau
 
Je? ni movie gani ambayo ushawai kuangalia na ilikusabisha ukalia kwa kutoa machozi kabisa,

for me, THE FOULT IN OUR STARS which been directed by josh boone,

the foult in our stars, that hurt so bad like the last fifteen minutes of the move i saw balling my eyes out in theater. and when it ended i cried for another.,


NB; tufahamishe ni kitu gani au tukio gani? lilokufanya hadi ukalia, na ni vyema kama ukimtaja na muhusika aliyekufanya hadi ukalia, pamoja na simulizi fupi ya filamu hiyo

best of me pale dowson anakufa halafu amanda ameshaachana na mume wake kisa dawson.nyingine ni the last song ya 2010 yupo miley cyrus ndani hii nayo inasikitisha pia
 
chuno the slave hunter
daegil anakufa mikononi mwa binti anayempenda ile season inasikitisha mchiz aliishaisha ya stress na kufa akimtetea x girlfriend
 
The price aka Pastor Ken (Nigerian movie)
Ndo filamu za mwanzo kabisa za kinaigeria kuingia nchini nadhani 1998
 
John Q ya Denzel, pale alipokuwa anampa usia mtoto wake amsikilize mama yake
 
chuno the slave hunter
daegil anakufa mikononi mwa binti anayempenda ile season inasikitisha mchiz aliishaisha ya stress na kufa akimtetea x girlfriend

Dah! Inasikitisha sana hasa jinsi Daegil alivyoteseka na yule dada slave ambaye baba yake aliuawa kikatili.
Sound track ya hii series naipenda kupita maelezo.
 
Impossible 2, inazungumzia tsunami, familia moja iliyokuwa vacation malaysia ilivyoathirika,
 
Back
Top Bottom