Recent content by aj17

  1. A

    Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Kwel kabisa ndugu, huu wema hata mm sijawahi ona, mtu unalazimishwa utajiri kwa nguvu kiasi kile [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] haijatokea kwa uso wa dunia. Yalinikuta na jamaa yangu classmate chuo kikuu baada ya kumaliza na ajira/kujiajiri zilivyokua ngumu hivi. Niambiwa nichukue saa ya...
  2. A

    Je, wajua kazi zinazofanywa na wanawake zingetengeneza nusu ya ajira?

    Porini kuna nn huko atoke huko. Aje town anatafuta nn. Sehemu zote hajaona mpaka akapike porini, mwanaume mzima [emoji28][emoji28][emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. A

    Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

    Hio si sababu kwa nini virus wa HIV hawezi kufa,kwa maana hata matibabu ya saratani(CA) hasa mionzi(radiotherapy) huuwa chembe hai(cells),ila ndo tiba yake hivyohivyo Sasa kwa swali letu kwanini HIV virus hawafi??? Badala yake wanafubazwa na ARV?? NB: This is a molecular biology based science
  4. A

    Kenya acheni Ujinga, Kenya ni third World Country!

    Basi ww ndo unaijua kenya yote na siri zake zote
  5. A

    Wakuu kuna usalama huko nje,nasikia mingurumo mizito.

    Hahahahah ni kwel wahindi hao na sikukuu zao mji kati hapo-dsm
  6. A

    Q&A, kwanini kila habari ya Mange ni verified kuliko nyingine?

    Kwani uki weigh taarifa zake katika pande mbili zile ambazo zinakuja kuwa right yaan truth inaji reveal itself after a time vs zile info ambazo alitoa baada ya muda zikagundulika ilikua uwongo/uzushi(kudanganya).Proportionality imekaaje hapo wananzengo??
  7. A

    Natural Attractions in Kenya and Tanzania

    Si tulishawahi ambiwa na mtu fulani kwamba olduvai ipo nchi jirani ya kenya.Alipokua kwenye mkutano UN
  8. A

    Barcelona wadaiwa kuhamia EPL, Wenger aanza kuhanya

    Inawezekana sababu ya hali ya kisiasa ilivyo sasa spain alafu barcelona ni wacatalans ila ni uamuzi wao tu wapi pa kwenda maeneo jirani wakitaka wanaweza hata baki hapohapo spain. Mfano; mwingne nchi kama israel na uturuki hazipo ulaya ila wameona kuchezea kwenye shirikisho la ulaya kwa ngazi za...
  9. A

    Unalipi la kumshauri huyu kijana?

    Acha mambo meusi kwa matokeo gani hayo akasome bachelor ya pharmacy/nursing hapo.Mshauri vinginevyo au unataka wakale pesa yake ya application tu
  10. A

    Series (Special thread)

    Kati ya hizi mbili ipi nzuri zaidi kwa lioziona tayari 'The last kingdom' na 'The tundors'
  11. A

    Wow! I love this Girl from Rwanda...

    Si ndio huyu wameimba kwetu pazuri.....ama wanafanana fanana
  12. A

    Tatizo lolote la PC/device

    Pc dell core i7 niki charge ina sema not charging kwenye display icon ya battery chini pale,ila si mara zote ni mda na mda ndo inafanya hivyo. NB:imeshawahi kufa Pc system charge ikatengenezwa na kupona, mda umepita sasa ndo inaleta hio mizengwe ya 'not charging' Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A

    Kenyans with Mt Kilimanjaro

    Tanzania ina makabila zaidi ya 130,Tanzania ni zaidi ya kabila la wazaramo.Ukabila hauko huku kama huko Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  14. A

    Kenyans with Mt Kilimanjaro

    Mmechora mlima ambao haupo kwenye taifa lenu.Nani ka copy mwenzie hapo? ama ni mlima Kenya huo kwenye picha? By the way you should spend much time in promoting mt.kenya which eligibily yours compare to The Kilimanjaro.Roughly i heard at your primary schools teaching young boys and girls about...
  15. A

    Kenyans with Mt Kilimanjaro

    Kaulize mzungu aliyegawa hio mipaka during African partition in Berlin conference 1886.By the way kabla huo mda unafikiri kulikuaje?je kulikua na mlima wa taifa flani? Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom