clouds nao mnawafatilia? kifupi hawana jipya zaidi ya njaa kali kwa kujikomba na mijizi ya ccm na siku zote wanaegemea ccm na kuwabeza wapi zani kwa madai ni watu wasio wazalendo na wafanya fujo ndio maana wamekuja na vijimsemo vyao vya kuwafunga watu akili eti "sambaza upendo"
kwa mtu mwenye...
Kibonde wa Clouds anadaiwa kusababisha ajali asubuhi hii eneo la Makumbusho, amemgonga dereva mwingine kwa nyuma. Trafiki walipofika kupima ajali, Kibonde karudi nyuma kaendesha gari lake kasepa! Trafiki katumia gari lililogongwa kumfukuzia. Walifanikiwa kumkamata eneo la Mwenge. Trafiki...
Umesahau mheshimiwa aliwaalika Ikulu watangazaji wote wa clouds wakala bata na kusaza na hawa jamaa wanatumia propaganda zao kuwafanya vijana wasitambue uozo wa rushwa, ubabe wa madaraka wa baadhi ya viongozi wanaoufanya hasa chama tawala mfano 6 na kukandamiza vyombo vya habari hilo mbona...
Duh kweli Mchungajo gwajima amekua kama Icon hana Redio, hana Televisheni, hana kipindi chochote kinachorushwa lakini amekua maarufu kila siku humu JF lazima jina lake litajwe na magazetini isipokua siku hizi mbili tangu afanye sherehe juzi jumapili naona hayaja andika!
Tunataka mabadiliko safi sana na Tanzania mpya inakuja hatutaki kuburuzwa hapa mpaka kieleweke binafsi nimefunguliwa sana uelewa ningejulia wapi yale yote Big up IPP media
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.