Ajira Chopa ya Gwajima

Ajira Chopa ya Gwajima

Duh kweli Mchungajo gwajima amekua kama Icon hana Redio, hana Televisheni, hana kipindi chochote kinachorushwa lakini amekua maarufu kila siku humu JF lazima jina lake litajwe na magazetini isipokua siku hizi mbili tangu afanye sherehe juzi jumapili naona hayaja andika!
 
Unaeitwa Aidan yaani kuna jamaa humu wanampenda kweli Gwajima yaani kila siku lazima wamuandike. Jamaa ana nyota aisee maana kila siku hawaachi
 
hawezi kupata hy kazi hadi ajigeuze kuwa tahira ashabikie ngono uzinzi.pia lazima aigize ameokoka na awe mfuasi wa hl kundi. Kinyume na hapo nakuhakikishia hata awe na master degree first clas hapati ng'oo na akipata uje useme humu jamvini.

Haupo wewe
 
Duh kweli Mchungajo gwajima amekua kama Icon hana Redio, hana Televisheni, hana kipindi chochote kinachorushwa lakini amekua maarufu kila siku humu JF lazima jina lake litajwe na magazetini isipokua siku hizi mbili tangu afanye sherehe juzi jumapili naona hayaja andika!

Acha wazidi kumtangaza nw tanzania nzima wanamjua Gwajima
 
Back
Top Bottom