CCM walitoa maoni kwa wingi hasa kupitia Mabaraza ya Katiba kuunga mkono Serikali 2 lakini Warioba na timu yake hawakuyagusia! Ni kama vile hayakuwepo, there is something wrong somewhere, ndio maana Warioba pamoja na kumaliza kazi yake ya uenyekiti wa Tume bado anang'ang'ania kurudia yale yale aliyokwisha kusema!
Your intergrity is questionable na ndio maana ulifukuzwa kuwa moderator; you were a mole intent to destroy JF,luckily you were flushed out on time before doing your assigned damage!! Ulaaniwe wewe mole wa magamba.