Clouds Media wamesimama wapi katika hili la Escrow?

Clouds Media wamesimama wapi katika hili la Escrow?

Walikuwa wana mu dis sana Sugu 2010 akigombea ubunge,mwisho wa siku jamaa aka wini,kuwaibukia na Kinega wakaomba pooo kipitia Tundu Lissu,shortly ni njaa kali wale
 
Ila kidogo naona wanajituma kuwaumbua mafisadi. Hata Hando mzee wa kujipendekeza jana aliwananga sana mafisadi. Na jioni waliweka bunge na kurusha ripoti yote ya PAC. Labda wamepima maji wameona yana kasi!

Huwezi jua maana alishasema alikutana na mamvi tanga kwakweli huyu hando anajipendekeza vibaya sana
 
Unayajua matusi ww. Nenda bungeni. Hata didas masaburi alikuwa km ametukana lkn ujumbe ukawa umewafikia wahusika
Yote tisa ,kumi Mr Lusinde,nadhani yule jamaa ana degree ya matusi.Hana makuzi mazuri,ukiwa unaangalia Bunge na wanao pembeni ,akianza Lusinde bora utoke au uwatume wanao dukani.
 
Ila kidogo naona wanajituma kuwaumbua mafisadi. Hata Hando mzee wa kujipendekeza jana aliwananga sana mafisadi. Na jioni waliweka bunge na kurusha ripoti yote ya PAC. Labda wamepima maji wameona yana kasi!

Clouds wapo upande wa Edo.Magazeti ya New habari corporation kadhalika.SASA UNAWEZA JUA NI KWA NINI WAKO IV KWENYE HII SKENDO.
 
clouds nao mnawafatilia? kifupi hawana jipya zaidi ya njaa kali kwa kujikomba na mijizi ya ccm na siku zote wanaegemea ccm na kuwabeza wapi zani kwa madai ni watu wasio wazalendo na wafanya fujo ndio maana wamekuja na vijimsemo vyao vya kuwafunga watu akili eti "sambaza upendo"
kwa mtu mwenye akili hawezi kusikiliza clouds fm
 
Back
Top Bottom