Clouds yaipotezea UKAWA

Clouds yaipotezea UKAWA

Hata mie nilisikia,nikashangaa na kuogopa kwa kuwa nilikuwa siamini kama hao ndio wachambuzi wa magazeti wa redio,na pale ndio ukomo wao wa kufikiri katika kuchambua suala la katiba! kimsingi hawajui kwanini UKAWA walitoka bungeni!

Siku moja nilikuwa napita na gari kwenye uchochoro wa barabara ambao ni mwembamba kiasi cha kushindwa kupishana na mtembea kwa miguu,basi mbele yangu alikuwa anakuja dada mmoja kwa miguu ambaye badala ya kusimama kusubiri sehemu tunayoweza kupishana,yeye akaja na akataka gari ndio irudi nyuma!Rafiki yangu niliyekuwa nae akaniambia,usibishane nae huyo ni form 4 failure,nikarudi nyuma tukapishana

Ndugu zangu,watangazaji wale ni form 4 failure, hebu angalia uwezo wao wa uchambua mambo mengine tu.
 
Nadhani anamanisha aina mpya ya king'amuzi
 
Mleta mada inaonesha ana kamdudu kanamsumbua wala hajielewe. Comments zako zote ni za kikuku na lazy mind. CCM na mazuzu wenzano na vyombo uchwara vilivyobakwa na rushwa za CCM na watawala ndo mnaotumia simple ways za kuhadaa umma. Mjue kwamba hata kabla ya vyombo hivyo kutangaza wananchi wanajua kila linaloendelea na wamejiandaa kuadhibu hawa mafisadi waliopindukia.
 
Anaonekana ni mtu mzima lakini anafanya Mambo ya kitoto sana kwa kutokujua madhara yake mbeleni
 
Hivi pamoja na maelezo ya kina toka kwa kina Warioba bado ma CCM hayaamini kuwa yameteleza????nyie jidanganyeni tu ila siku mtakapokuwa chama cha upinzani CLOUDS itakuwa inasikika vichochoroni tuuu
Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti.

Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea.

Badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.

Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri.

Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa katika mambo makubwa kubwa kama katiba kwa kutojua athari zake?

Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania?

Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia katika mazingira hayo??

Nawasilisha.
 
Kuna watu wanatumia vyombo vya habari kupotosha ukweli, kwanini hawasemi sababu ya UKAWA kutoka bungeni, wanakalia kuwaamisha waTZ kwamba UKAWA wamesusa bila kutoa sababu za msingi zilizo pelekea wakatoka, nakushauri mleta mada kama wewe ni above 24yrs dont waste your time listening to clouds, hiyo ni redio ya wanafunzi sio wafanyakazi.
 
Kila mmoja anahaki kuchambua suala la katiba namna anavyoona ni sahihi na mahala gani. Yale ni mawazo yao wao watangazaji, hata wewe una maoni yako binafsi. Suala la katiba linajadiliwa kila sehemu. Kuacha zungumzia UKAWA ni maamuzi yao wao.
 
Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti.

Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea.

Badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.

Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri.

Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa katika mambo makubwa kubwa kama katiba kwa kutojua athari zake?

Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania?

Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia katika mazingira hayo??

Nawasilisha.

Naomaba Nikulize kwanza Mleta Mada Utaenda kujadili kitu Ambacho sicho kilicholetwa Mwezani? Ile rasimu ya Jaji warioba kwani Ukawa ndio wameikata kuijadili? 2 Clouds nafikiri inajulikana inamrengo gani kwahiyo siyojambo lakushanga sana kwa hilo
 
Hata ningekuwa mimi ningewapotezea vilevile maana hawana maana kabisa ila ni walafi wa madaraka tu....wanafanya hivi ili walazimishe kuundwa serikali ya mpito ya umoja wa kitaifa ili tu waingie madarakani kwani wanajua fika kuwa kwenye ballot hawapenyezi...
Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti.

Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea.

Badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.

Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri.

Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa katika mambo makubwa kubwa kama katiba kwa kutojua athari zake?

Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania?

Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia katika mazingira hayo??

Nawasilisha.
 
Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti.

Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea.

Badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.

Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri.

Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa katika mambo makubwa kubwa kama katiba kwa kutojua athari zake?

Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania?

Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia katika mazingira hayo??

Nawasilisha.

Nafikiri wako sahihi! huwezi kuendelea kujadili watu ambao hawapo na hawana mpango wa kuwepo huko kwenye hilo Bunge maalum, nafikiri kuna mambo mengi ya kujadili yanayowahusu wananchi, kwa mtu mwenye hekima nilazima kuwa macho sana na wanasiasa, Hawahawa wanaounda UKAWA ndiyo walisusia matokeo ya uchaguzi 2010 kiasi cha kusema hawamtambui rais lakini kinyemela wakajikusanya wakaenda Ikuru kumuomba aweke mambo sawa mambo yalipoharibika, sielewi na sidhani kama ninauwezo wa kuelewa vitendo vingi vya wanasiasa!!!!!! hivyo basi kupotezea ishu kama za ukawa ni zaidi ya kuwa na busara:cool2:
 
Hivi kaolewa? Nasikia ni kibibi tayari

clouds%2Bfm1.jpg
 
Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti.

Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea.

Badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.

Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri.

Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa katika mambo makubwa kubwa kama katiba kwa kutojua athari zake?

Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania?

Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia katika mazingira hayo??

Nawasilisha.

Pambaf sana radio ya wafu. wasome wasisome UKAWA hawarudi, na kama wanadhani ni jambo dogo wawaulize JK na Pinda viroho vinavyowadunda.
 
Nilimsikia Babra akizungumzia swala la kuipotezea UKAWA, kwa ufupi nafikiri ni tatizo la uelewa na upeo mdogo wa kufikiri. Wao kama chombo cha habari hawapaswi kuwa waropokaji wa aina hii.
 
Umesahau mheshimiwa aliwaalika Ikulu watangazaji wote wa clouds wakala bata na kusaza na hawa jamaa wanatumia propaganda zao kuwafanya vijana wasitambue uozo wa rushwa, ubabe wa madaraka wa baadhi ya viongozi wanaoufanya hasa chama tawala mfano 6 na kukandamiza vyombo vya habari hilo mbona hawakuliona kwani ukawa hawana akili mpaka wagome kwani wao ni wakongo? haipendi nchi yao:what:
Clouds hawana jipya tunawafahamu
 
Back
Top Bottom