Nimesikitishwa na kauli ya Clouds FM

Nimesikitishwa na kauli ya Clouds FM

Kusema kweli mie huwa sisikilizi kabisa hii radio, wewe unategemea makao makuu ya radio yawe Tandale sasa na utangazaji si unakuwa wa uswahili uswahili?
 
CCM imetenga bilioni 3 kujitangaza kwenye vyombo vya habari, wameshaanza kuwanauua wahariri wa vyombo vya habari na television kwa kuogopa UKAWA
 
Wanawapa promo kwani UKAWA wanahitaji sapoti yao ndio wajulikane vichaa kweli!
 
Vipi kuhusu kipindi cha jicho la ng'ombe bado kinaendelea vizuri?
 
Pole bado unasikiliza clouds tu ndugu yangu pole sana kama unataka kipindi bora cha asubuhi sikiliza Morning Magic ni bonge ya kipindi aisee..!

umenena mkuu.Kile ndo kipindi cha kusikiliza watu na akili zao
 
Ile ni redio ya mipasho,UKAWA NA MIPASHO wapi na wapi????
Pengine nisaidiwe kwa hoja, kwa nn wamekataa kutangaza? Maana c wote wanasikilza, mwenye habr kamili alete ili kabla ya kucoment ijulikane sababu!
 
NIMESIKITISHWA SANA NA KAULI YA CLOUDS FM.

Nimeingiwa na shaka na watangazaji wa clouds fm leo katika kipindi cha power breakfast baada ya kutangaza kwamba hawatatangaza habari za UKAWA eti wanawapa umaarufu leo nimejua hawa jamaa ni CCM pure!

Poor clouds fm.

ulikuwa hujui..
 
sio lazima kutangaza habari fulani inayohusu mtu binafsi au kikundi fulani....watatangazw na vyombo vingine vilivyotayari kufanya hivyo
 
Pengine nisaidiwe kwa hoja, kwa nn wamekataa kutangaza? Maana c wote wanasikilza, mwenye habr kamili alete ili kabla ya kucoment ijulikane sababu!

da cjawah kurikiliza hyo station tangu nazaliwa mm naijua redio one captal na maria baaas
 
Kama mpaka wanapewa tenda ya kuandaa birthday ya mkubwa unadhani ni kazi ndogo lazima uwe KADA
 
believe is an opium desease.karl max .kumekuwa na dhana kina anayeikosoa upindinzani ni mpumbavu ama ni lumumba.dhana ya kipumbavu kabisa watanzania huru kutoa mawazo yetu.bila shinikizo lolote clous wako sahihi kwan barbla hasan alisema ukawa wamewapotezea watzania bac nao wawapotezee
 
Back
Top Bottom