Msimhukumu jamaa anasema uongo, Kuweni Waungwana, kila alichoandika hapa chaeleweka!
QUOTE=Pinokyo Jujuman;3891517]Ujue tatizo natumia simu kupost hiki kisa hivyo sijaweza kuandika kila kitu nafasi haitoshi; ila ni kwamba yeye anavyokichukulia kile kitendo cha kumlipa pesa yake bila...
Hili ni Funzo kwa wanaume wababe na wasiotulia na familia zao, najua tu Hadithi hapa ni kwamba Mama kachoka na hili Dume la mbegu na Ndo maana kaondoka, she is responsible Ndo maana kaondoka na mtoto! Msimsaidie jamaa kumtafuta, ale jeuri Yake!
All I can tell you is this, there is no happiness and true achievement and a real joy without a family, so to say if you don't look up to that there is nothing remain in this world for you, just die ...
Don't spoil your marriage, girls can do that, don't ignore your feelings keep on checkin out but stay away from her phone and be gentlemen.
Gals can talk like that to each other without anything going on between them. Be positive but as said, don't ignore your doubts but be wise when you...
Kwa kweli ndugu zangu mie nimechoka kusikia jinsi watu wanavyoila hii nchi, sielewi wana maana gani, HIVI CCM hii nchi mliachiwa na Bibi yenu? mbona hamna hata aibu, ufujaji mwingine mimi nikisikia mpaka masikio yanawasha, Maana yake ni nini sasa?
Nimenunua Gari Mara 2 via paytrade! Ni Huduma inayohakikisha kwamba hela yako haitaibiwa! Tradecarview ni kampuni na ndani Yake pana watu wameregister wanauza magari, when you use paytrade actually hela ukituma zaenda kwa trade car view na wakiridhika Gari limetumwa na ni Kama like la kwenye...
Uvivu wako Wa kumuwaza Na kutochangamkia deal Kama zamani utakupeleka kubaya, Ngoja deal zioshe uone kama atakutafuta tena!
QUOTE=mkaliwakitaa;3835306]Mtoto ni mkali kweli kweli..nampenda kweli kweli..lakini ..its two weeks now since i started dating her..all my deals that were to happen...
Trade car view is the best and use paytrade to secure your miney, the cost of paytrade service is $ 150 more than the invoice value but it worth, choose car of your choice.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.