Masaada jamani...!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masaada jamani...!!

Discussion in 'JF Doctor' started by Kiboko Yenu, May 10, 2012.

 1. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwenzenu nimekuwa nasumbuliwa na maralia mara kwa mara japo huwa nalala na net na pia chumba huwa napulizia net yani kwangu haiwezi kupita hata wiki 6 bila kuuguwa
   
 2. N

  Nyuki baby Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kunywa ngao!
   
 3. f

  firehim Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Unauhakika ni Malaria. Kiutalaam hizi ni homa za mara kwa mara. Poleee
   
 4. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,021
  Likes Received: 2,633
  Trophy Points: 280
  Subiri kidogo wataalamu wa hayo maradhi saa hizi wana njaa wakishapata Lunch wataanza kukumwagia mavituz,pole.
   
 5. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  malaria si tu wakati wa kulala, hata unapoumwa nje ya nyumba utayapata tu,
   
 6. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ndio maana kila nikienda hospitali huwa na desturi ya kupima magonjwa yote ila huwa na kutwa nayo
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  umecheki CD4.....?
   
 8. A

  Ahmada umelewa Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unapojisikia vibaya usikimbilie kupima malaria, huwezi kuyakosa hata Siku moja?

   
Loading...