Mke wa mtu ananiuliza napenda aje kwangu akiwa amevaaje?

Aje kwako kufanya nini?
Kamwambie amuulize mume wake hilo swali.
Kama ni tamthiliya unaandika script basi agongwe na gari akiwa anakuja kwako.
 
Kwanini unajichekesha?Kwani wewe unamuelewaje anapokuambia hivyo?Si we muambie aje vyovyote tu!
Tena huyu jamaa naona anatamani sana kubadili mahusiano toka kibiashara hadi mapenzi....
 
aje amevaa kama yule dada aliyenasa kenya.
Hahahaaaa King Kong III jamaa hajaiona ya Kenya eeeeh?
Loh mwache aje awe sample kwa watanzania....
Nakumbuka kuna mmoja alinasaga kule njombe mwaka 2004 ilikula sana kwake coz hadi walipelekwa hospital wakiwa wameng'ang'aniana....
Ni aibu sana....aachane kabisa na wake za watu
 
Last edited by a moderator:
Msimhukumu jamaa anasema uongo, Kuweni Waungwana, kila alichoandika hapa chaeleweka!


QUOTE=Pinokyo Jujuman;3891517]Ujue tatizo natumia simu kupost hiki kisa hivyo sijaweza kuandika kila kitu nafasi haitoshi; ila ni kwamba yeye anavyokichukulia kile kitendo cha kumlipa pesa yake bila kunipahuduma kwa wakati ule kama namuhonga; maana huanza kusema "ooh umekuja kunihonga eeeh"
Akipokea hela yake ndo huendelea na hiyo kauli yake ..."nashukuru,haya wataka nije kwako nikiwa nimevaaje?"[/QUOTE]
 
Mwambie aje akiwa hajavaa chupi.

Yani weweee umeniwahiiiii nimefungua nikiwa na usongo wa kumwambia hivyo!basi acha nimpatie lingine.......Mwambie aje kama alivyozaliwa itanoga zaidi!
 
Back
Top Bottom