wadada wenzangu naombeni msaada

Smile jana sikumaliza yote niliyotaka kukushauri, ngoja niko busy kidogo kwa sasa, nikipata nafasi nitakwambia (coz it needs more explaination) point ya tano ktk orodha ya mambo makubwa ya kuzingatia kuepuka kupata mwezi wa 'kichina'!
 
thax my dia unaweza kunitumia tips kwa email dinacathu@yahoo.com nashukuru sana kwa upendo wako mkuu
ndo maana nawalike wadau wa jf
 
All I can tell you is this, there is no happiness and true achievement and a real joy without a family, so to say if you don't look up to that there is nothing remain in this world for you, just die ...

hivi utamwamini mwanaume kwa vipi?
i mean nijiachie vipi na niridhike niwe na confidence niseme kabisa huyu flani huyu ni mpenzi wangu......
kiukweli naogopa aibu ... unamtambulisha mtu ,siku mbili tatu si mtu ni kiatu......
kiukweli uoga uliopo moyoni mwangu ni zaidi ya upendo naoweza kuoffer kwa mwanaume
mimi nawaona waongo tu .....
hivi kuna wa ukweli? nashangaa tu wenzangu wanaolewa .... i wish niwe na confidence kama wao ila nashindwa...wananiambia eti mwanamke hadi unaolewa lazima uwe ma.....l...ya.... try wanaume wengi as much as u can eti ndo ipo siku utapata wa ukweli eti ni kweli?

nawasilisha from real@smile
 
I hope woga sasa umeisha, soon utaolewa

Back
Top Bottom