Recent content by agwambo 86

  1. A

    JamiiForums Tanzania Is moon landing true?

    jibu kamili bado sijapata..nashukuru kwa mchanganuo
  2. A

    JamiiForums Tanzania Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

    mi nawashangaa mnataka serikali ifanye nini nanyie ingieni msituni choma misikiti tuone itakuwaje maana wenzenu ndo wanachokitaka yaani mmechomewa makanisa 25 ndani ya miaka 12 nyie ata madrasa hamjachoma duh..si muwape wanachotaka jamani
  3. A

    JamiiForums Tanzania Is moon landing true?

    Muda mrefu nmekua nikifatilia kuhusu binadamu kwenda mwezini na wanasema Neil Armstrong ndio mtu wa kwanza kufika huo, je kuna ukweli wowote AnD what about the conspiracy theory.
  4. A

    JamiiForums Tanzania anatamani afanye maamuzi magumu

    avumilie tu ndoa ndoano, pia uwezi kutoa maamuzi ikiwa maelezo hayajakamilika na ujapata mlolongo mzima wa maisha yao unaweza kukuta uyo mume nae anayake yanamsumbua ambayo anaogopa kukabiliana nayo.
  5. A

    JamiiForums Tanzania maandamano kwa jobless

    wanaharaki naomba mlishughulikie ilo swala as soon as posible vijana wapo wengi sana hata ukisema uanzishe jeshi la jobless linaweza kuzidi JW.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    mada yako ni uhongo mtupu..halafu we mwanamke mbona unasaport mtu mmoja kuwa na mahuuano na wapenzi wengi tena siku zote demu uliyepiga mkigombana lazima hatakuchana tu hata kama ulikuwa unamfikisha kibo....kwenye mapenzi hakuna anaejihamini 100% kila mtu anaisi anakasoro zake tena mademu ndo...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wapeleka barua UN kuvunja Muungano

    kama ndo hivo basi hata sultani alivamia eneo la pwani na tanganyika kwa ujumla ikizingatiwa tanganyika ilikuwa na tawala ndogo ndogo,geographically nchi kuvuka bahari uo sio mpaka tena bari ni uvamizi ukiangaria pia sultan nae wakuja tu pwani hii,tatizo wazazibari mnajiona kama waoman vile...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wapeleka barua UN kuvunja Muungano

    kikubwa ni muungano kuvunjwa kipindi tukielekea mchakato wa kuunda EAST AFRICAN FEDELETION
  9. A

    JamiiForums Tanzania The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    duh...kweli watu wakiamua utoki yaani simba wa afrika amegeuka asusa.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nape ni dini gani

    mme anza na udini sasa
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wadada wapi wanapata hii huduma??????

    tembelea mtandao wa dancing bear utaona jinsi wademu wanavyonunua wanaume
  12. A

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunadangaywa na kudanganyika

    huo ndo ukweli hata BBC wameshawahi kufanya utafiti wa mahojiano ambapo wanawake 120 walihoojiwa,104 kati yao walisema wamewahi kufika kilelen mara moja au mbili tu katika maisha ya mapenzi yao,10 wanafika kilelen wakikutana na wapenzi wapya,the rest hawana uhakika, na ndio maana katika topic ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Je Karume DAY ina UDINI?

    kama wakristo ndo wangefanya ivo lazima wenzetu wangetoa tamko
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nilichosikia kongamano la kiisilamu arusha

    inaonekana shekhe ilunga na wenzake wanatafuta umaarufu na wananufaika na kuanzisha mijadala ya udini,hata osama wakati anapigwa walisema marekani anania ya kutokomeza uislam mpaka mwenyewe aliposema "this is not jihad,this is stricly bussiness.
Back
Top Bottom