Zanzibar wapeleka barua UN kuvunja Muungano

mbona miaka yote hiyo zaid ya 40 walikuwa wamelala-wafanye haraka ili ikiwezekana mwaka huu wajitoe-hawana faida yoyote ile-ni mzigo tuliojibebesha ambao hautusaidii kwa lolote-wakwende zao huko
 
Dhambi ya ubaguzi aliyosema Julius hiyoooo, sasa hivi watagundua kwamba hakuna wazanzibari, maana si alisema ni kama kula nyama ya mtu, ukiionja huachi.... mmh babu nae alijuaje haya mambo ya nyama za watu lakini!!!!!!!!!!!!!!!!?

Nyerere alijua hivyo kutokana na mnyama simba kwamba akishaanza kula nyama ya mtu ataendelea kula watu cha msingi simba akishaua mtu ni kumsaka na kumuua so mwl jkn alitumia falsasa hio na si kwamba ashawahi kula nyama ya mtu watu kama wale walikua ni magreat thinker sana
 
Great thinker NYERERE
Sidhani kwamba baada ya kuifanya Tanzania maskini kwa sera zake mbovu za ujamaa, kuna mtu mwenye akili timamu atakayesema Nyerere alikuwa Great Thinker . Madhara ya Nyerere Tanzania yanaendelea wakati akiwa kaburini.

na umeme si tutagoma kuwauzia? Ni ulevi tu wa madaraka na si vinginevyo

hizi ndio akili mbovu alizowanywesha nyerere ??? Biashara ndivyo inavyokwenda hivyo????? Kuna kazi kuwatoa fikira hizi za
kinyerere na ndio nchi ikawa masikini
 
kwani zinazotengana ni watu au serikali??? Mbona kenya na uganda hata kule uingereza kuna watanganyika na wazanzibari wenye viwanja maduka mashamba hata watoto na maisha yanaenda hamna chuki yoyote ????wewe unaishi ulimwengu gani ??
Kwani serikali ni nini kaka!tulia uone game!
 
Wanaharakati wa zanzibar wamefikia hatua hiyo baada ya kuona hawaridhiki na matendo ya Muungano na hatimaye kuwasilisha uhitaji wao wa kujitenga UN.

Mytake: Kama muungano ukivunjika si hamna CCM au? ila ngojea tuwaze plan B

source BBC
Nawaunga mkono.
 
I hope they know this is something real and not a comedy. Waache waende na nawashauri wajipange kuhama na nchi ya Tanganyika pia kama wanauvunja muungano.
 
Dhambi ya ubaguzi aliyosema Julius hiyoooo, sasa hivi watagundua kwamba hakuna wazanzibari, maana si alisema ni kama kula nyama ya mtu, ukiionja huachi.... mmh babu nae alijuaje haya mambo ya nyama za watu lakini!!!!!!!!!!!!!!!!?

ANgalizo hapo kwenye nyekundu..
 
I hope they know this is something real and not a comedy. Waache waende na nawashauri wajipange kuhama na nchi ya Tanganyika pia kama wanauvunja muungano.

MBONA MNAKASIRIKA SANA UNAOVUNJIKA NI MUUNGANO WA SERIKALI NA SIO MUUNGANO WA WATU ????
MBONA WATANGANYIKA WAPO ZANZIBARI na wazanzibari wapo Tanganyika hata kabla KABLA MUUNGANO ????
 
Kwani serikali ni nini kaka!tulia uone game!

serikali ya muungano imeanza April 1964 watu wapo kabla ya huu muungano na bado hawajatengana na hatutotengana na ujanja wa mahasidi wanaojichukulia madaraka kwa ujanja ujanja na maguvu na kuweka sheria zao kwa nguvu
 
Back
Top Bottom