Is moon landing true?

agwambo 86

Member
Apr 4, 2011
19
3
Muda mrefu nmekua nikifatilia kuhusu binadamu kwenda mwezini na wanasema Neil Armstrong ndio mtu wa kwanza kufika huo, je kuna ukweli wowote AnD what about the conspiracy theory.
 
nakufananisha na kasuku aliyewekewa kioo yani alikua hamini alichokiona hata alipmfikicha macho wakati ukwel aliujua
 
na advancemnt yote binadamu wanafanya, unashindwa kuamini anaweza land on the moon? really guvnor??
na unaongelesa kuhusu conspiracy theory ipi coz zipo kibao
tsk tsk tsk...
 
Huwezi kutumia effort kubwa kiasi hicho kudanganya ulimwengu mzima wakati hamna benefits zozote za gain.
 
The tech back in the fifty's wasn't that advanced to fake the landing footage
 
Was fake, mpaka leo wameambiwa watumie satelite kutafuta mabaki ya vipande vya jet vilivyobaki Kwenye mwezi ila wamekataa, why?

Photo zilikuwa edited, na nyingine haieleweki zilipigwa na nani mfano picha ya kuonyesha astronaunt anakanyaga moon at the first time ilipigwa na nani wakati yeye ndie wa kwanza kushuka?

Walishirikiana na UFO na disney chanel kutengeneza story fake, ili kuionyesha dunia kuwa marekani anaweza kwa kuwa kipindi kile kulikuwa na cold war, pia NASA alikuwa anataka apewe kipaumbele kwenye bajet ya Taifa, alipewa billion of Dolars.

Kwanini wale astronaunts wauawe wote katika mauaji ya ajabu? Hata wafanyakazi wa NASA wanakataa na wengine wanaipinga Moon landing. Why?
 
Hii story niliona documentary yake kupitia channel ya discovery. Nilichokiona na unachosema vinashabiiana.
 
kuna documentary moja, ambayo imewaonyesha NASA wakijibu maswali ya watu wanaoweka mashaka juu ya ile safari wanayodai kuwa walifika kwenye mwezi but nashangaa majibu yao yalikuwa simple na maswali mengine walishindwa kujibu. Hiyo documentary ilizidi kunifumbua macho.
 
Was fake, mpaka leo wameambiwa watumie satelite kutafuta mabaki ya vipande vya jet vilivyobaki Kwenye mwezi ila wamekataa, why?

Photo zilikuwa edited, na nyingine haieleweki zilipigwa na nani mfano picha ya kuonyesha astronaunt anakanyaga moon at the first time ilipigwa na nani wakati yeye ndie wa kwanza kushuka?

Walishirikiana na UFO na disney chanel kutengeneza story fake, ili kuionyesha dunia kuwa marekani anaweza kwa kuwa kipindi kile kulikuwa na cold war, pia NASA alikuwa anataka apewe kipaumbele kwenye bajet ya Taifa, alipewa billion of Dolars.

Kwanini wale astronaunts wauawe wote katika mauaji ya ajabu? Hata wafanyakazi wa NASA wanakataa na wengine wanaipinga Moon landing. Why?

Ila kweli inaonekana hata kile kituo cha anga cha kimataifa hakipo, huwa ni picha tu zinakuwa doctored sehemu. Na story za kuzunguka dunia ni fake: ngozi nyeupe waongo sana.

Tutakalia story hizi wakati wao watafika hadi Mars.
 
yeah kweli, moon landing was a real deal nd ukifatilia link above vizuri(niliona hiyo show discvry) NASA were kind enough to leave a retro refrector on the surface of the moon so if u،ve gt a powerful laser u cn point at the landing location nd a signal will b received back on earth. A definate proof that man has been there
 
Umetest au ndo NASA wamekwambia??????
 
kuna dhana kwamba picha ziliandaliwa area 51, ni restricted area. Maswali ni mengi, nani alipiga picha pia bendera haionyeshi kama inapepea. Ipo kama ubao. Mambo ni mengi hata NASA wanapata wakati mgumu kujibu
 
Umetest au ndo NASA wamekwambia??????

Unfortunately i dont have an 8giga watt powered laser to test it with,so i had to go with the results nd observations gaht not only by Nasa but dedicated space agencies from other technological advanced nations lyk Japan nd Russia
 
Put some links so we can verify that.
 
Back
Top Bottom