Recent content by Agogwe

  1. Agogwe

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakubwa duniani wajitokeza kulaani shambulio la Israel dhidi ya watu wa msaada

    kulaani ni kwa mdomo haisaidii kitu, ilitakiwa zichukuliwe hatua ngumu ikiwemo kufunga balozi zao na kusitisha mashirikiano ya kibiashara. Kinyume hapo ni unafiki
  2. Agogwe

    JamiiForums Tanzania Ramani ya rahisi ya vyumba2 jiko na choo

    floor plan hii hapa
  3. Agogwe

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuvaa T-shirt yenye bendera ya Tanganyika siyo Uchochezi?

    anatukumbusha kuhusu Tanganyika yetu maana tayari ndani ya Muungano wa Tanzania kuna nchi inaitwa Zanzibar.
  4. Agogwe

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Hayati Magufuli apewe maua yake

    Aliua upinzani na kutengeneza bunge la chama tawala, na sasa haya ndio matunda yake wanafanya wanavyotaka. Bila yeye huenda CCM ingekuwa historia leo hii
  5. Agogwe

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mabehewa 30 na vichwa 2 vya treni za SGR mali ya TRC kupigwa mnada nchini Ujerumani

    lakini muda utasema ukweli
  6. Agogwe

    JamiiForums Tanzania Fedha zetu matopeni tena?

    Hiyo REA ndio tulioambiwa hakuna Umeme wa 27,000/ kila siku inakuwa afadhali ya jana. Brother Mshana Jr hii inaweza kuwa ni laana huko kwenye mambo ya kiroho. Tunahitaji kafara kubwa au ibada nzito kuvunja huu mkosi. Lile nina Tanganyika linafikirisha sana
  7. Agogwe

    JamiiForums Tanzania PICHA: DSTv wanakoleza mnyukano wa Mama na Sukuma Gang?

    Umelewa gongo wewe
  8. Agogwe

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Zanzibar ni kama Qatar Wana akili ya maendeleo licha ya udogo wa nchi na uchache wa Raia

    Maendeleo yanaletwa na mambo yafutayo. 1. Siasa safi 2. Uongozi bora 3. Watu (ongezea wenye akili timamu) 4. Ardhi hiyo nchi inayojiita Zanzibar hawana sifa hata moja kati ya hizo
  9. Agogwe

    JamiiForums Tanzania Mwafrika ni nyani akiyechangamka

    Tunatengeneza matatizo ili tuje tumsifie mtu kwa kuyatatua. Kuna mambo ukiyatafakari sana unaweza ukawa unaongea mwenyewe njiani. Mwafrika ni umbwa mkubwa kasoro mkia
  10. Agogwe

    JamiiForums Tanzania To my early 30, sijawahi kufanya mambo haya

    utakuja kusumbua watu uzeeni wewe, kuna hatua huwezi kuziruka katika maisha.
  11. Agogwe

    JamiiForums Tanzania Usiamini kila unachokiona mtandaoni, Zamaradi hajanunuliwa gari na Mume wake

    Ukiendekeza wivu magonjwa ya moyo na kisukari yatakuua tu.
  12. Agogwe

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

    mikia fc wanapumua kwa shida sana
  13. Agogwe

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Profesa Muhongo kusema hatupo tena uchumi wa kati na Waziri Mwigulu kupinga huku Rais akikubali ni ishara kiimani na kisiasa

    Wasomi wengi wa hii nchi ni hasara tupu. Utafikiri walienda kusomea ujinga
  14. Agogwe

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Mida ya malaika mtoa roho hii anapita na checklist yake, 3:24am najibariki taraatib na ule mmea wa kondeni
Back
Top Bottom