Ila jamaa alizingua sanaAfrica inahitaji kutawaliwa miaka 100 tena - Donald Trump, 2019
Mkuu uliwahi kulinganisha benders ya Marekani na ya Liberia? Mkuu unsjua kuwa mwanamke mmarekani amewahi kuwa raisi wa Liberia?Mtoto wa George Wheah ambaye ni rais wa Liberia nchi iliyoko Africa aenda kuchezea timu ya mpira wa miguu ya Marekani na Baba yake yuko comfortable kabisa!
Yaani hata familia ya rais wa Liberia haiamini katika taifa analoliongoza rais wao.
Hii inatokea Africa tu
Kuna sehemu fulani hata kupinduwa meza pia ni tatizo,na kwanini hawalipindui?
The problems of Africa are the Africans themselves. The moment you rise up against this, Your own people will Betray you and hand you over to the enemies... Poor Africa!! and we are doomed to remain poor till eternal...Kiukwel kupitia matendo ya viongoz wetu wa nchi za kiafrika anzia Uganda rwanda na nch zote za kiafrika matendo yao yanafanana Sana kujipendelea kutotaka Kutoka madarakani kufuja pesa za uma kwa matumiz binafsi upendeleo wa Kaz za umma
Mambo haya yote yanafanya tuonekane wapuuzi
Viongoz wetu hawapend kushauriwa Wala kuchukua hatua had pale mambo yakiharibika
Tatizo la maji Tanzania kila mtu anashangaa tuna maziwa makuu 3 viktoria tanganyika na nyasa bado maziwa madogo madogo lakn ajabu hapo mwanza kigoma au Ruvuma wanatatizo la maji
Wakat wa tatzo la maji hapa dsm dawasa walitoa tangazo wenye visima wasiuze maji Sasa unajiuliza Hawa n watu au nyani.
Kwa picha hii ,,kweli mtoa mada yupo sahihi.
Tunatengeneza matatizo ili tuje tumsifie mtu kwa kuyatatua.Kiukwel kupitia matendo ya viongoz wetu wa nchi za kiafrika anzia Uganda rwanda na nch zote za kiafrika matendo yao yanafanana Sana kujipendelea kutotaka Kutoka madarakani kufuja pesa za uma kwa matumiz binafsi upendeleo wa Kaz za umma
Mambo haya yote yanafanya tuonekane wapuuzi
Viongoz wetu hawapend kushauriwa Wala kuchukua hatua had pale mambo yakiharibika
Tatizo la maji Tanzania kila mtu anashangaa tuna maziwa makuu 3 viktoria tanganyika na nyasa bado maziwa madogo madogo lakn ajabu hapo mwanza kigoma au Ruvuma wanatatizo la maji
Wakat wa tatzo la maji hapa dsm dawasa walitoa tangazo wenye visima wasiuze maji Sasa unajiuliza Hawa n watu au nyani.
Dah!!!Nyani nyingine hii hapa
Huyu mdau anaitwa kithure kindiki (now ni cabinet minister wa interior) ,mwaka 2018 akiwa senator alirukaView attachment 2417914 na helicopter kutoka Nairobi kwenda Tharaka nthi kusaidia ujenzi wa darasa la matopeView attachment 2417915View attachment 2417916

Aisee tafadhali kabisa. Nyani kama nyani ni mnyama mwenye akili nyingi sana na anietendea haki akili yake katika kujiletea ustawi wa jamii inayomzunguka. Usifananishe nyani na binadamu tena mwafrikaKiukwel kupitia matendo ya viongoz wetu wa nchi za kiafrika anzia Uganda rwanda na nch zote za kiafrika matendo yao yanafanana Sana kujipendelea kutotaka Kutoka madarakani kufuja pesa za uma kwa matumiz binafsi upendeleo wa Kaz za umma
Mambo haya yote yanafanya tuonekane wapuuzi
Viongoz wetu hawapend kushauriwa Wala kuchukua hatua had pale mambo yakiharibika
Tatizo la maji Tanzania kila mtu anashangaa tuna maziwa makuu 3 viktoria tanganyika na nyasa bado maziwa madogo madogo lakn ajabu hapo mwanza kigoma au Ruvuma wanatatizo la maji
Wakat wa tatzo la maji hapa dsm dawasa walitoa tangazo wenye visima wasiuze maji Sasa unajiuliza Hawa n watu au nyani.
Nimewahi...haiondoi aibu na sintofahanu ya mtoto wa raia no. 1 wa Liberia kuwakilisha nchi nyingineMkuu uliwahi kulinganisha benders ya Marekani na ya Liberia? Mkuu unsjua kuwa mwanamke mmarekani amewahi kuwa raisi wa Liberia?
Dah kumamae huyu msenge nishai sanaaNyani nyingine hii hapa
Huyu mdau anaitwa kithure kindiki (now ni cabinet minister wa interior 🇰🇪) ,mwaka 2018 akiwa senator alirukaView attachment 2417914 na helicopter kutoka Nairobi kwenda Tharaka nthi kusaidia ujenzi wa darasa la matopeView attachment 2417915View attachment 2417916
Angalia na huyu...Kuna yule Rais wa Cameroon, Paul Biya sasa yupo madarakani zaidi ya miaka 40 na muda mwingi yupo anaishi Ufaransa. Yaaani Africa ni bara jeusi kwelikweli
Tena afadhali Nyani, anaweza kumudu kuiba mahindi akalisha famila yake. These so called presidents can not make any tangible achievements for their people!@ Yapo ku consolidate power kutawala milele!
Nilisema kama kuna kosa kubwa, tena kubwa alilifanya Mungu ni Kumuumba mwafrika!
Kama huyu mwingine.. Kumbe George Weah ameshaukwaa urais, basi mambo yanaenda kasi balaa....Angalia na huyu... View attachment 2418069