Viongozi wakubwa duniani wajitokeza kulaani shambulio la Israel dhidi ya watu wa msaada

kulaani ni kwa mdomo haisaidii kitu, ilitakiwa zichukuliwe hatua ngumu ikiwemo kufunga balozi zao na kusitisha mashirikiano ya kibiashara. Kinyume hapo ni unafiki
 
Acha kufanya Generalization wapo walioshangilia na wapo walioona tukio Hilo sio sawa tokea day one ,hata hivyo hayo yote hayatoi justification ya kuuwa watu wasio na hatia hovyo.
Wakichapwa kidogo watarudia.Na wakichapwa kidogo watu hawataogopa kukaa karibu yao/magaidi.
 
Taifa teule tandika hayo magaidi ya poland na uingereza hadi yajue wewe siyo wa kuchezea. We unataka wafe watu wote harafu yenyewe yanapeleka chakula wakapone watu wote!
 
Back
Top Bottom