Patrick
Nitaendelea kuwa tofauti kimawazo na wewe kwa sababu tunaangalia kwa mitazamo tofauti.
Tusikazimishe matatizo yawe kawaida ya maisha yetu, ATM kumeza kadi sio kawaida kwasababu haikutengenezwa kumeza kadi, sasa kama tunashindwa kuwa na sense of urgency kwenye issue zinazowakwaza wateja...
Patrick
Lazima tujifunze kuweka ubinadamu kwanza kwasababu sheria na taratibu ziliwekwa kwa ajili ya kutuwezesha kujitawala kwenye mstari. Nani aliyetangulia sheria au binadamu kwahiyo ukisoma kwa makini maelezo ya huyu mteja utagundua kuwa hakuwa na shida kuambiwa utaratibu ulivyo bali the way...
Pls just write in Swahili. "Scholarship of Mozambique"... Halafu mnataka tuungane East Africa iwe nchi moja, mbona wadogo zetu watakuwa mahouse boy/girl wa majirani zetu.
Nakumbuka mechi ya simba na yangu nimesahau mwaka, labda 92/93. Constantine Kimanda fullback Five na George Masatu simba Fullback wa msimbazi. Simba ilianza kuwafunga yanga kwa mpira wa adhabu ndogo, goli aligunda Masatu, likasawazishwa na Kimanda kwa style ile ile ya Masatu adhabu ndogo...
Kwa mara ya kwanza Mkenya ameandika Kiswahili fasaha. Hongera jirani. Pls pls Mr. Kenyatta, do not let Mr Smiley speak English in that address. Mwache aongee Kiswahili period.
Ilinikuta Walmart hii kaka, mtoto wa Kizungu kanikimbilia ananiuliza "why didn't you take shower? Same way niliinama nikamwambia ni ndivyo tulivyozaliwa. As an employee I got promoted to Customer Service Manager from that incident. Nilikuwa cashier.
AN OPEN LETTER TO THE UK AMBASSADOR TO TANZANIA
Honorable Ambassador
Your Majesty Madam.
I am a born Citizen of Tanzania. I am appalled by the information from our president that with all UK took from our grandfathers during colonialism yet there were massive debt left behind for the...
Hata kama, Lakini kumbuka Tanganyika ilikuwa teritory ya Uingereza chini ya Queen Liz kama Head of State. Makusanyo yote ya Kodi ya Tanganyika yalikuwa part ya mapato ya Uingereza which means hapa Dar hakukuwepo na Hazina. Kwahiyo, kimahesabu huwezi kukubali kuchukua kodi halafu useme madeni...
Let me tell u, nenda balozi za nje ndani ya Tanzania utakuta kuna sehemu na siku ya kufahamiana tu. kusalimia ni part ya kujifunza, bora wangeweka muda maalum katika siku kwa ajili ya Raia, huhitaji kuwa na shida kwenda Ubalozini kwako. Haya ndio mazoea ya kupata watu kwa njia ya kujuana badala...
My question remains unanswered! Kikwete is the Fourth Pres of URT, before then, there were three major phases of leadership. Y does this president fee obligated to pay a debt that all three predecessors felt unnecessary?
Nimeanza kurudisha imani yangu Jamii Forum. Hii ndio Jamii forum nilikuwa ninaifahamu, wanafalsafa wanagusa magombo ya Legendaries
Mkuu kwanini Politburo ina power, kwasababu its made of very few powerful minds. Currently wako saba tu. na hii ndio pia the Heart of Chinese system, hawa wana...
Kaka, nashukuru sana, System inatakiwa iwe juu ya Executive, meaning System has the power to Nixon any President. System ya Nyerere ilifanya hivo kwa Mwinyi kwenye OIC. System ilifanya the same kwa Dr Salmin Zanzibar. That system ilikwenda wapi. System ilikuwa na majukumu ya kuchunga Usalama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.