ni hatari sana pale system inaposhindwa kuona jambo ambalo mwananchi wa kawaida tu anaweza kulifikiri na kuliona. Systems imara duniani leo zimeshapanga hadi miaka 50 ijayo wawe na sera gani na mikakati gani na watu wa aina gani kwenye uongozi wa nchi zao ili waweze kwenda na dunia. Kwa kweli sitaki kuamini kama wao kwa hapa tanzania ndo wameshauri na kupanga ivo. Kama kweli basi kazi itakuwepo kubwa sana huko mbeleni.
wasiraisishe hivyo kama system inashidwa kufanya analysis ya aina gani ya mtu watu wanaemtaka iko shida na wanaidanganya ccm,oke! Urais wanaweza kumfanya ashinde lkn,je wabunge wao atawaombea kura na je watu watajiuriza amewajuaje maana hakuwai kufanya nao kazi,naiona ccm ikipata anguka la nguvu ndani ya bunge kiasi cha kuwatisha,maana watu watamuona ni mpole hivyo watachangua wabunge wa upinzani wengi ili kubana serikali,
je watafanya kazi ?
Je watakuwa wameisaidia ccm?
Je je wanajua watu wanamtaka rais wa aina gani?
Kazi kwao wajipime