Recent content by African teacher

  1. A

    JamiiForums Tanzania Simanjiro: Walimu walalamikia kunyimwa kushiriki kwenye zoezi la sensa

    Ni sahih kiongozi'hawa walalamikao ni wale wale walimu ambao hawakugoma na kusimamia sensa wamepotezewa so cku nyingine acheni kujipendekeza'mlidhani usaliti wenu ungewapa First Priority' Jifunzeni'mbona si wengine tumechili tu?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Simanjiro: Walimu walalamikia kunyimwa kushiriki kwenye zoezi la sensa

    Waangaike wao' afu pia nasi maticha tuache kulia lia'
  3. A

    JamiiForums Tanzania Marufuku walimu waliogoma kushiriki sensa - serikali!

    Hapo wamempiga chura teke ...'
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tafsiri halisi ya neno Mswahili

    Mswahili ni mtu anayeishi pwani na daima hupenda kuva kanzu,kushika bakora na barakashee kichwani ndivyo mm ninavyomfahamu.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tamko la Chama Cha Walimu(CWT)

    Siui mende kwa nyundo maana nitaumia mimi'hapo pole pole,wakija kushtuka wapo nje ya Game wote CCM na Vibaraka wao hao akina Mukoba
  6. A

    JamiiForums Tanzania Walimu walitumiwa kuandaa mgomo feki.

    Plse waalimu wote hapa jamvini,achaneni na hao jamaa wanafki wanaopinga kile tulichokitenda tokea 30-2 mwezi huu,naomba tusibishane nao saana kiasi tukatokwa na povu kwa mdomo,Plse let Us show them'kwani wao ndio watakao ingia darasani kufundisha?lazima waisome namba tyme hii
  7. A

    JamiiForums Tanzania Walimu si Muhimu kwa Taifa la Tanzania.

    Tumefyata eeeh'goja muonje utamu matokeo yajayo'hapo ndipo utakapojua ka tumefyata
  8. A

    JamiiForums Tanzania Tamko la Chama Cha Walimu(CWT)

    Tuiondoeni mapema hyo kitu kabla ya 2015,mbegu chafu sana Kikwenga
  9. A

    JamiiForums Tanzania Karudi Baba Mmoja (Toleo Jipya)

    Daaah!Long tyme Hawa jamaa ni Pacha wake, Sadiki na Chitemo, Sizitaki mbichi hizi kweli yakale ni dhahabu...'
  10. A

    JamiiForums Tanzania Walimu tunarudi kazini lakini.........

    Habar ndiyo hyo'na huku kwng hata kuuliza maswali hawajuhi'
  11. A

    JamiiForums Tanzania Walimu tunarudi kazini lakini.........

    Hapa xcul ni saa 9:30 home saa 5:00,mpaka kieleweke,kuumwa kwingi na Mi ID ya kumwaga,
  12. A

    JamiiForums Tanzania Naomba Kusaidiwa Jibu la Swali Hili Wanajamvi

    (a)ndio jibu sahihi kiongozi'watatutambua 2015,afu tyme hzo hawa 4m1 si watakuwa wametimiza miaka 18,sasa watacheza nibebe bila kupenda na matambi yao
  13. A

    JamiiForums Tanzania Walimu tunarudi kazini lakini.........

    Hata hiyo nguvu ya kufundisha stil sijajua naitoa wapi'hapa nilipo ninafull mawenge'kweli nimeamini mahakimu wa Tz wanapelekwa ka Ming'ombe....'
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    Asante Baba Askofu,siye twaendelea kulala tu na leo wakijichanganya kidogo tu,watafurahi wenye,
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nimeshtushwa Polisi kutishia uhai wa watoto kwa silaha za kivita

    Kitumbua kishaingia mchanga,Police kikubwa kiwatesacho ni njaa na kujipendekeza'na wengi ni QT,Sasa safari hii wao na serikali yao lazima waisome namba. Walimu hatutishiwi nyau'tutalala home mpaka baba Rizi anyoshe maelezo
Back
Top Bottom