Recent content by Aeko

  1. Aeko

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    nyie jamaa mmewapa man utd matumain makubwa sana ila kiukweli hii timu ina shida 3-5 nzito 1 bruno 2 hakuna Dm bora hapo kati ni makida makida tu 3 hakuna chemistry in attack wako wako tu itawachukua muda sana ku settle 4 kipa aisee 5 kocha ni mbishi hataki kuwa flexible kubadili formation...
  2. Aeko

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Aisee hii timu ni mbovu kiseng hata kupiga pass ni nzuri ni shida sijui ilikuwaje mkawa manaisifia siku aliyocheza na arsenal au wale jamaa walijua ni pre season bado
  3. Aeko

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    hapo bado baleba and donaruma and we are good to go for this season
  4. Aeko

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    chat gpt anajaribu kuchambua mambo kuna namna admin wa chat gpt ni arsenal fan au hujamaa mkorea ndio anaiendesha chat gpt inatabiri crown arsenal
  5. Aeko

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Naamini arsenal na bayern ndio timu pekee zilizoweza kuonyesha upinzani wa kweli kwa psg ukimuweka na Liverpool kidogo kwenye ile second leg ila timu ambazo hajakutana nazo na zinaweza kumpa pia challenge kali ni Chelsea pamoja na Barca final naona sio nyepesi sana kwa psg japo utabiri wa...
  6. Aeko

    Nikifikiria kuhusu hii dunia, akili yangu inahama

    chengine ni Lower your expectations wazee wanamsemo wao usianze kuhesabu faida kwenye biashara kabla ya hio pesa kuingia mkononi yani usianze kuwaza kumiliki ma vitu makubwa kabla hujapata hio mentality ya kuendesha hayo maisha ya ufahari kama unayotaka mfano umiliki wa majumba magari inaweza...
  7. Aeko

    Nikifikiria kuhusu hii dunia, akili yangu inahama

    dah this can't be a coincidence nimetoka kuongea vitu vya muundo huu jana maswala ya money can't buy happiness na vingi kama ulivyoelezea na wewe umekuja kupita mule mule sijui ni nini tunaambiwa au taarifa gani inatujia kwa muundo huu kutoka kwa mwenyez mungu but one thing i can assure you is...
  8. Aeko

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    kumbuka hampo tena kwenye trial on run phase yani msimu ujao mnahesabiwa muwe kati ya watakao beba makombe tena yale makubwa soo muda wa kufuta visingizio ndio huu uzuri mko ready kufanya usajili so ndio muda sahihi wakuziba udhaifu wenu kwa kuchukua kilicho sahihi nasio kucheza kamali mfano...
  9. Aeko

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hivi nyie jamaa mmeona nini kwa huyo sesko mpaka kufikia kumfungia macho dogo gykoers dah mngejua huyo ndio missing piece yenu mko kama walevi na management yenu haipo serious utaskia wanafukuzia, tena another midfielder dah
  10. Aeko

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  11. Aeko

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal wanaendela kujipiga wenyewe na butwaa kwa msimu wa tatu huu mfululizo and they shamefully act surprised na matokeo ya jana
  12. Aeko

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    alafu hapa wanakuambia next season wao fainali uwakika wakipata striker yani hawaoni kama msimu mbovu wa wengine ndio silver lining yao Man city Bayern Barca Madrid yani kama vile Hawa watu hawata sajili kuja kukompete vizur pia ukiangalia majeruhi wao wanao rudi msimu ujao hata hao psg...
  13. Aeko

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    ahaha wee jamaa una dhambi sana unawatonesha, pale pale wanapo ugulia maumivu
  14. Aeko

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hawa mashabiki wa arsenal watafanya vinywaji vikali kama kvant zipigwe marufuku we mtu gani anaejitambua anakosa kuona tu kuwa wao mwisho wao ulifikia hapo yule hamiss 77 masingeli hatumuoni humu alisha jua walipiga bomu mochwari pale kwa madrid ila hawa wakajiona kama washa maliza kila kitu
  15. Aeko

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Si tulisema humu currently psg wapo inform kuliko arsenal ila false hoppers humu wakawa wanaitangaza fainali yao na inter milan na kwenda mbali zaidi kusema washalibeba kombe hilo
Back
Top Bottom