Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona siku hizi wameacha kufananisha makocha wao na Arteta.

Ila next season haswa mwanzo wa msimu haya nayatarajia
 
Hii ndiyo timu imeichukulia kombe nyumbu
Screenshot_2025-05-25-22-41-32-138_com.mobilefootie.wc2010-edit.jpg
 
Kwa hapa theoretically Arsenal hawezi kushushwa hapo.

So battle ipo kwa hawa huku. Hawa ili usiku uharibike inabidi wapate chochote isipokua ushindi halafu Villa ashinde.

Nafasi ya tano tayari Spurs kashaibook. Atayejichanganya kukaa hapo kazi anayo.

Hapa sasa ndiyo kenge ataenda kukaza tako conference league ili aende europa cup kwa mlango wa uwani. Akifanikiwa timu za kwenda europa itakua kenge na palace kwakua palace kashinda FA.

Halafu wengine wataenda Conference league.
View attachment 3345413
Liverpool kachukua ubingwa wa EPL mwaka 2025 kwa pointi 84, nazidi kujifunza kuwa bahati ina nafasi kubwa sana kwenye maisha.
 
Pita online uone kenge wanavyofurahia kwenda CL.

Our floor is their ceiling
 
Msimu huu hakuna mchezaji wa Arsenal mwenye magoli angalau 10 au zaidi kwenye ligi.

Ila Arsenal ni ya 3 kwa timu zilizoscore magoli mengi.
 
Hivi nyie jamaa mmeona nini kwa huyo sesko mpaka kufikia kumfungia macho dogo gykoers dah mngejua huyo ndio missing piece yenu mko kama walevi na management yenu haipo serious utaskia wanafukuzia, tena another midfielder dah
 
Wote wanafaa. Nasikia Sesko ana kasi na vyenga kidogo kumzidi Gyokeres na pia ni mdogo kiumri kwake hivyo wanadhani tunaweza dumu naye muda mrefu zaidi katika mafanikio kabla ya yeye kuhitaji kuondoka kwa sababu ya umri. Gyokeres naye anafunga magoli na kuassist zaidi.
 
kumbuka hampo tena kwenye trial on run phase yani msimu ujao mnahesabiwa muwe kati ya watakao beba makombe tena yale makubwa soo muda wa kufuta visingizio ndio huu uzuri mko ready kufanya usajili so ndio muda sahihi wakuziba udhaifu wenu kwa kuchukua kilicho sahihi nasio kucheza kamali mfano kama mtamchukua sesko kisa ana vyenga basi hilo ni anguko kama la man utd na antony maana expectations huwa null na kama ni speed basi asije kuwa kama Lacazette hivyo proven players kwenu ni muhimu mno mfano hawa wa 3 kwangu ni proven na missing piece kwa arsenal

1 gyokers
2 osimehn
3 isak

hakuna kuremba ni kubutua tu alie mbele na upande wa LW mnahitaj sana starter martinel huyu bado sio starter kwenye kikosi cha arsenal kuna option nyingi mno bora zaid

1 Rodrygo anachezaga RW ila ni natural LW
2 nico william
3 yule jamaa wa lyon jina nimelisahau kidogo
4 Eze wa crystal Palace ni 🔥
 
Nimekuelewa mkuu. Tatizo la kukosa vyenga kidogo kwenye Premier League ni kuwa mabeki wa premier league ni wagumu mno. Striker anapaswa kuwa na uwezo wa kuwachomoka hata kwa sekunde mbili tu na kushoot kwa ufanisi. Wakosoaji wa Gyokeres wanasema huenda namba zake ziko juu kwa sababu anakutana na mabeki lelemama sana wa ligi yao, ila akija kukutana na akina Maguire 🙂D 😀 😀 ) na kina Burn hatafurukuta.Watu wanafikiri udhaifu wa mabeki wa Potugal ndiyo sababu hata Darwin amekuwa akionekana wa kawaida Premielr League wakati kule alikuwa anajifungia tu migoli atakvyo.

Hata kwenye hiyo list yako ya Mastrikers, namkubali Isak kwa sababu amekutana na Saliba na Gabriel na akafanikiwa dhidi yao. Gyokeres na Haaland wamekutana na hawa miamba na hawakufurukuta. Kwenye list ya 2 namkubali Eze kwa sababu ni kama namba 10 na tunahitaji uchezaji creative unaochezesha winga zetu zote mbili. Tukiwa na Odegaard tunazidisha upendeleo upande wa kulia tu ndiyo maana Martinelli anaonekana wa kawaida na kujikuta ana majukumu ya kiulinzi zaidi kuliko katika kushambulia. Jamaa anatakiwa aongeze mbinu tu katika ushambuliaji na umaliziaji ila siwezi kusema nitamchukua Nico au Rodrygo mbele yake.
 
Huyu

Huyu kacheza Championship tu.
 
Moja kati ya eneo mashabiki wengi wamekuwa ama hawalioni au wanaona haya kulizungumzia ni nafasi ya captain odegard.
Najua amecheza zaidi ya mechi kumi za mwisho wa ligi akiwa na maumivu na hakufanyiwa upasuaji kwa kuhofia kuongeza idadi ya majeruhi.

Ila jamaa ni weak spot yetu tunapohangaika kutengeneza a complete article.ukiwa unacheza na mid-table teams huwezi ona hii shida ila ukikutana na team ambazo ni paceable, transitional monsters na ziko physical basi jamaa Huwa anatukaba mnooo.

Huyu anatakiwa kuletewa mtu haswa kwenye nafasi yake ili yeye abaki kucheza pale mazingira ya mechi yanapo "compliment"

Kama una mechi ya vita haswa,Niamini Mimi ode anatakiwa aingie kama sub tu.kama ni mtu wa mpira utaelewa nachozungumza.Ukitumia TAKWIMU kama baseline ya kumtetea you will get it all na kuna muda unaweza hisi ni pirlo dimbani ila huyu kama tunataka ubingwa next season inabidi awe sehemu ya timu tu
 
Back
Top Bottom