Recent content by Adrian Stepp

  1. Adrian Stepp

    JamiiForums Tanzania Interview za Tanapa - Arusha

    Duhhh!!
  2. Adrian Stepp

    JamiiForums Tanzania PICHA: Makamba Akiwa na Piyush Goyal Nini Hiki?

    Mzigo huu hapa!
  3. Adrian Stepp

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania waungana na Wanahabari wa Simiyu kumpinga DC Simalenga

    Ndio akawaombe radhi alio wakosea! wanadai si mara ya kwanza!
  4. Adrian Stepp

    JamiiForums Tanzania Kwaherini Kawe (Dar es Salaam), Hodi Mapinga (Pwani)

    Kawe imeanznia Morocco mpaka Daraja la Mapinga! sasa ungekua specific 'Kawe' gani hasa unayozungumzia!
  5. Adrian Stepp

    JamiiForums Tanzania Kwaherini Kawe (Dar es Salaam), Hodi Mapinga (Pwani)

    Karibu sana tule bata kiembeni 😅 😅 😅
  6. Adrian Stepp

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Bagonza: Jina la Edward lina maana kubwa Monduli

    Mwambieni Askofu Bagonza kwamba ..Tofauti ya mazishi ya kiserikali na Kitaifa ni Hadhi/ Itifaki- ambapo Jeshi la wananchi linahusika, Mizinga 21 hupigwa Kwa Rais aliyeko madarakani au Mstaafu, Makamu wa Rais aliyeko mdarakani au mstaafu ni mizinga 19, Waziri Mkuu ni mizinga 17.. tofauti ipo...
  7. Adrian Stepp

    JamiiForums Tanzania Huyu ndugu yangu alinidharau nimemsamehe bila kumwambia ila kwenda kwake naona hata uvivu

    Watu kama hawa wanaishia kuwa na depression chafu! kuna nyakati wanahisi kila mtu aawachukia wao..kumbe wao ndio wana mitazamo negative! Kuna kitu kinaitwa PMA ( Positive Mental Attitude) we bwana mtoa mada..anza kukifanyia kazi! otherwise yatakukuta tena siku si nyingi!
  8. Adrian Stepp

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanaume wananyanyasika zaidi kingono kwenye vyombo vya habari kuliko wanawake

    Ningependa tafiti hii iwekwe mtandaoni kama Andiko Rasmi, kuna ukweli mwingi ndani yake!
  9. Adrian Stepp

    JamiiForums Tanzania Tupo Oslo, Norway Hiki alichovaa huyu jamaa anayempa mkono Madam President ni kitu gani?

    Ni Earpiece/ Intercom..kwaajili ya mawasiliano..
  10. Adrian Stepp

    JamiiForums Tanzania Wanaobeba vifurushi mgongoni huku wakiomba barabarani huwa wanabeba nini?

    Dar wako sana mitaa ya mnazi mmoja maeneo ya kitumbini pale...kwa tafiti tulizofanya wengi wao si kwamba ni ombaomba per se! wengi wao wana miliki nyumba zaidi ya moja maeneo tofauti ya mji! Wengi wanadai kuomba ni mazoea yao!..
  11. Adrian Stepp

    JamiiForums Tanzania Msaada Wa Ushauri: Supervisor wangu ni kilaza

    😅 😅 😅 😅 Vijana wasije wakakuiga hii! Kuna taasisi ukileta haya mambo utajuta kuifahamu!
  12. Adrian Stepp

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob ataja Mawaziri walionunua mahekalu

    Kuna watu sijui huwa mnawaza nini! Nimecheka sana!
Back
Top Bottom