PICHA: Makamba Akiwa na Piyush Goyal Nini Hiki?

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,764
21,237
Tanzania sasa kuuza mbaazi India kwa wingi kadiri mtavyoweza hadi 2025.

Baada ya mfumo wa kuzoom kutamaradi hiyo picha sasa sijaelewa na haieleweki!.
Huyo aliye na January Makamba ni waziri wa biashara wa India Piyush Goyal.

IMG_20240224_180636.jpg
 
Kiongozi ulikuwa unataka kusema nini hapo? Binafsi sijakuelewa kabisa
Beberu
Makorokoro Bondeni
makaveli10
King Kong III
Inaonekana baadhi yenu si wajuzi wa kuchunguza picha, angalia uhalisia wa hiyo picha kwa eneo ilipozungushwa duala.

Miguu ya huyo mhindi ilipoishia, kwenye picha nyingine ni amevaa zile gauni zao fupi (nyeusi) na pajama (nyeupe) ila hapo kwenye picha miguu imekatwa kuna kitu hakipo sawa au ni editing.
 
Angalia vizuri hiyo picha ni mwanga tu umefanya huo mguu mwingine usionekane ila angalia vizuri tu, miguu yote ipo hakuna editing hapo ni issue ya mwanga

Hiyo nguo ni nyeupe ime reflect mwanga
 
Beberu
Makorokoro Bondeni
makaveli10
King Kong III
Inaonekana baadhi yenu si wajuzi wa kuchunguza picha, angalia uhalisia wa hiyo picha kwa eneo ilipozungushwa duala.

Miguu ya huyo mhindi ilipoishia, kwenye picha nyingine ni amevaa zile gauni zao fupi (nyeusi) na pajama (nyeupe) ila hapo kwenye picha miguu imekatwa kuna kitu hakipo sawa au ni editing.
Angalia vizuri kwa ku zoom mguu wake wa kushoto ulikosa mwanga na sakafu inafanana rangi na huo mguu baada ya kupata kivuli
 
Attachments

  • Screenshot_20240225-071243_Chrome.jpg
    Screenshot_20240225-071243_Chrome.jpg
    419.7 KB · Views: 2
Ili swala limekuwa historia Kila mwaka Huwa nasikia Tz kuuza mbaazi zake zote India ila sijawahi kuona wakulima wakipata kuuza hizo mbaazi zao..mfano kule Kasulu na Manyara watu wanalima sana mbaazi...ila wanalia lia sana na masoko ya hizo mbaazi
 
Beberu
Makorokoro Bondeni
makaveli10
King Kong III
Inaonekana baadhi yenu si wajuzi wa kuchunguza picha, angalia uhalisia wa hiyo picha kwa eneo ilipozungushwa duala.

Miguu ya huyo mhindi ilipoishia, kwenye picha nyingine ni amevaa zile gauni zao fupi (nyeusi) na pajama (nyeupe) ila hapo kwenye picha miguu imekatwa kuna kitu hakipo sawa au ni editing.
Ungeelezea tafsiri yako. Hiyo ya nguo kukatwa au kuishia ni style ya fundi,
 
Angalia vizuri kwa ku zoom mguu wake wa kushoto ulikosa mwanga na sakafu inafanana rangi na huo mguu baada ya kupata kivuli
Hamna kitu kama hicho chief kwamba mwanga uafifishe na kupoteza nguo ya image wkt wa kupiga picha, sina hakika kwa hilo.

Ngoja tuendelee kupata uhalisia labda nitaelewa!.
 
Back
Top Bottom