Msaada: Nimepoteza kitambulisho cha kupiga kura, wapi naweza kupata kingine au walau kupata namba ya kitambulisho?

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
5,110
21,657
Habari,

Nimepoteza kitambulisho changu cha kura sasa nahitaji nipate nakala ya copy ya kitambulisho changu au namba zile za kwenye kitambulisho changu.

Kwa hiyo anayefanya kazi NEC au anayejua njia ya kupata taarifa basi aniambie.

Whatsap 0749247920
 
Habari.nimepoteza kitambulisho changu cha kura sasa naitaji nipate nakala ya copy ya kitambulisho changu au namba zile za kwenye kitambulisho changu.

Kwa iyo anayefanya kazi Nec au anayejua njia ya kupata taarifa basi aniambie.

Ela ya maji ipo maana hakuna kazi ya bure mjini.

Whatsap 0749247920
Lucas Mwashambwa njoo huku.
 
Habari.nimepoteza kitambulisho changu cha kura sasa naitaji nipate nakala ya copy ya kitambulisho changu au namba zile za kwenye kitambulisho changu.

Kwa iyo anayefanya kazi Nec au anayejua njia ya kupata taarifa basi aniambie.

Whatsap 0749247920
Kama mpaka unajua wanaohusika na sulaa lako ni NEC nenda kwenye ofisi zao zilizo karibu nawe au chukua mawasiliano yao kwenye tovuti yao wapigie. Kufikia kutaka kutoa "hela ya maji" ni kudumisha rushwa katika Taifa
 
Kuna mtu anafanya kazi ya bure.lazima utoe ela ya kiwi wewe
 
Back
Top Bottom