Huyu ndugu yangu alinidharau nimemsamehe bila kumwambia ila kwenda kwake naona hata uvivu

je parle

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,883
3,621
Hii nasimulia kama njia ya kupata relief mana ni kitu nilikwazika sana kwann ameongea maneno Yale.! Au alikuwa na chuki za ndani na Mimi mana yeye anajiweza kwa hali zote lakin Mimi sikuwai kumuomba chochote labda alikuwa akishangaa Mno.

Kipindi namaliza chuo alinitafutia kazi kwa rafiki yake ambae wanajua nikafanya Kila kitu na nikapata Ile kazi lakin mwisho WA siku nilichomoa nikachagua njia nyingine

Sio kwamba nlikuwa Sina uhitaji WA KAZI ni vile tu nlikuwa sitaki kusaidiwa na yeye kwa sababu ni mtu WA maneno maneno

Katika familia yeye ndio top lakin namuona tu ana maisha ya kawaida japo ana mali.!

Nikapambana kwa njia zangu hivyo siku zinasogea.

Sasa wakati nimeona ikapita kama miezi sita hivi Huwa tunasalimiana sana lakin Mimi ndio napiga simu yeye hajawai hata kukosea namba akasema ngoja nimpigie kijana wangu

Bwana siku nampigia swali la kwanza akaniuliza vipi mkeo alishajifungua.???? Mimi kuuliza kivip ?? Najiuliza moyoni inamaana hajui kama harusi imepita hata hiyo miezi ya kuzaliwa mtoto haijafika au ni mtoto njiti? Au ni DHARAU tu au andhani nimeoa mke ambae alikuwa na mimba tayari?? Kama amedhani alikuwa na mimba inamaana Mimi nilikuwa mzinifu au sio !??

MIMI MOJA KATI YA SERA YANGU NI KUTENGENEZA KIZAZI SALAMA .KWAHIYO SUALA LA KURUKA RUKA HALIKUWEPO KATIKA UJANA WANGU COZ NAAMINI BABA UKIWA MZINIFU KATIKA FAMILIA WANAOFUATA WATAKUWA WAZINIFU ZAIDI YAKO .ZINAAA NI DENI LA AJABU AMBALO HALIPI ANAEFANYA BALI WANALIPA WANAOKUJA

Nikajiwazia sana ila mwisho WA siku nikaona kuendelea kupiga simu ni kama kujipendekeza sasa mana sio kwa maswali haya

Sikupata majibu ya kutosha ila mwisho WA siku nikaona kama kaongea kinafki sana

Pia mwisho nika conclude kuwa familia ya upande WA baba ni miyeyusho sana watu wanakuwaga na vinyongo vyao bila sababu za kueleweka.!!!!

HIVYO
 
Mimi naona wewe apo ndio mwenye Shida legeza ubongo chukulia positive tu wala kaka yako hana shida kabisa.

Ukiwa na na akili ya hivyo kila mtu kwako atakua mbaya .
Watu kama hawa wanaishia kuwa na depression chafu! kuna nyakati wanahisi kila mtu aawachukia wao..kumbe wao ndio wana mitazamo negative! Kuna kitu kinaitwa PMA ( Positive Mental Attitude) we bwana mtoa mada..anza kukifanyia kazi! otherwise yatakukuta tena siku si nyingi!
 
Mbona kama inaonesha una shida ya afya ya akili ukisoma between lines...

Siku zote jali mambo yako, ukijali sana ya watu ndio unaanza kupata weweseko kama hivi...

Hii nasimulia kama njia ya kupata relief mana ni kitu nilikwazika sana kwann ameongea maneno Yale.! Au alikuwa na chuki za ndani na Mimi mana yeye anajiweza kwa hali zote lakin Mimi sikuwai kumuomba chochote labda alikuwa akishangaa Mno.

Kipindi namaliza chuo alinitafutia kazi kwa rafiki yake ambae wanajua nikafanya Kila kitu na nikapata Ile kazi lakin mwisho WA siku nilichomoa nikachagua njia nyingine

Sio kwamba nlikuwa Sina uhitaji WA KAZI ni vile tu nlikuwa sitaki kusaidiwa na yeye kwa sababu ni mtu WA maneno maneno

Katika familia yeye ndio top lakin namuona tu ana maisha ya kawaida japo ana mali.!

Nikapambana kwa njia zangu hivyo siku zinasogea.

Sasa wakati nimeona ikapita kama miezi sita hivi Huwa tunasalimiana sana lakin Mimi ndio napiga simu yeye hajawai hata kukosea namba akasema ngoja nimpigie kijana wangu

Bwana siku nampigia swali la kwanza akaniuliza vipi mkeo alishajifungua.???? Mimi kuuliza kivip ?? Najiuliza moyoni inamaana hajui kama harusi imepita hata hiyo miezi ya kuzaliwa mtoto haijafika au ni mtoto njiti? Au ni DHARAU tu au andhani nimeoa mke ambae alikuwa na mimba tayari?? Kama amedhani alikuwa na mimba inamaana Mimi nilikuwa mzinifu au sio !??

MIMI MOJA KATI YA SERA YANGU NI KUTENGENEZA KIZAZI SALAMA .KWAHIYO SUALA LA KURUKA RUKA HALIKUWEPO KATIKA UJANA WANGU COZ NAAMINI BABA UKIWA MZINIFU KATIKA FAMILIA WANAOFUATA WATAKUWA WAZINIFU ZAIDI YAKO .ZINAAA NI DENI LA AJABU AMBALO HALIPI ANAEFANYA BALI WANALIPA WANAOKUJA

Nikajiwazia sana ila mwisho WA siku nikaona kuendelea kupiga simu ni kama kujipendekeza sasa mana sio kwa maswali haya

Sikupata majibu ya kutosha ila mwisho WA siku nikaona kama kaongea kinafki sana

Pia mwisho nika conclude kuwa familia ya upande WA baba ni miyeyusho sana watu wanakuwaga na vinyongo vyao bila sababu za kueleweka.!!!!

HIVYO
 
Kuna kila dalili kuwa wewe ndio mwenye tatizo. Una inferiority complex. Kujihisi duni mbele ya waliokuzidi.

Kuna kila dalili ulimpa jamaa kesi na kumsamehe kama unavyosema bila hata mwenyewe kujua kuwa ana kesi na amesamehewa. Na hayo ni matumizi mabaya ya fikra na hisia.

Sidhani kila mtu ana keep record ya muda wa ndoa yako mpaka kushika ujauzito kupelekea kujifungua kwa mkeo. Hilo swali linaweza kuwa halina madhara yeyote tofauti na ulivyochukulia.

Watu kama wewe mnaweza hata mchukia mtu kwa kumiliki kitu kizuri kwa kusema anaringa nacho. Ukiwa mwenye nyumba utakuwa wale wenye nyumba wa kumchukia mpangaji kwa kula vizuri tu.
In short una roho ya ghilba na chuki.

Kutokukupigia simu kuna uwezekano ikawa ni tabia ya mtu tu. Mathalan, mimi naweza maliza hata miezi 6 bila ya kupigia ndugu zangu wa damu kabisa. Haimaanishi nawaringia ama wananiringia ni vile sina mazoea ya kupiga simu ovyo.
Tukikutana ama kuhitajiana we are always there for each other.

Ondoa dhana kuwa kila mwenye nacho anakudharau, utaona maisha yako yatakuwa na furaha zaidi bila ya chuki za kijinga jinga.

Pia jaribu kuthamini msaada wa mtu bila kuuwekea walakini, itakuwa rahisi na wewe kusaidia wengine.
 
Japo hapo naona kama umekuza sana, nakati sioni shida.

Kuna ndugu nyingine nazikubali sanaa,
Wewe uwe na Pesa , hakuna mwenye habari na wewe, kikubwa ni ushiriki wako wewe kama wewe na sio pesa,

Yaani unakuta una pesa kweli sio uongo, ila kila ukiangalia wa kukushobokea hamna, hakuna simu, hakuna kuombwa hela, unayemuona maskini anapambana na umaskini wake, mpk una ji accomodate mwenyewe..
 
Mimi naona wewe apo ndio mwenye Shida legeza ubongo chukulia positive tu wala kaka yako hana shida kabisa.

Ukiwa na na akili ya hivyo kila mtu kwako atakua mbaya .
@min -me Mimi Sina shida huyu mtu ndio anashida zake anataka sana kunyenyekewa na kwangu hicho kitu hakipo
 
Hii nasimulia kama njia ya kupata relief mana ni kitu nilikwazika sana kwann ameongea maneno Yale.! Au alikuwa na chuki za ndani na Mimi mana yeye anajiweza kwa hali zote lakin Mimi sikuwai kumuomba chochote labda alikuwa akishangaa Mno.

Kipindi namaliza chuo alinitafutia kazi kwa rafiki yake ambae wanajua nikafanya Kila kitu na nikapata Ile kazi lakin mwisho WA siku nilichomoa nikachagua njia nyingine

Sio kwamba nlikuwa Sina uhitaji WA KAZI ni vile tu nlikuwa sitaki kusaidiwa na yeye kwa sababu ni mtu WA maneno maneno

Katika familia yeye ndio top lakin namuona tu ana maisha ya kawaida japo ana mali.!

Nikapambana kwa njia zangu hivyo siku zinasogea.

Sasa wakati nimeona ikapita kama miezi sita hivi Huwa tunasalimiana sana lakin Mimi ndio napiga simu yeye hajawai hata kukosea namba akasema ngoja nimpigie kijana wangu

Bwana siku nampigia swali la kwanza akaniuliza vipi mkeo alishajifungua.???? Mimi kuuliza kivip ?? Najiuliza moyoni inamaana hajui kama harusi imepita hata hiyo miezi ya kuzaliwa mtoto haijafika au ni mtoto njiti? Au ni DHARAU tu au andhani nimeoa mke ambae alikuwa na mimba tayari?? Kama amedhani alikuwa na mimba inamaana Mimi nilikuwa mzinifu au sio !??

MIMI MOJA KATI YA SERA YANGU NI KUTENGENEZA KIZAZI SALAMA .KWAHIYO SUALA LA KURUKA RUKA HALIKUWEPO KATIKA UJANA WANGU COZ NAAMINI BABA UKIWA MZINIFU KATIKA FAMILIA WANAOFUATA WATAKUWA WAZINIFU ZAIDI YAKO .ZINAAA NI DENI LA AJABU AMBALO HALIPI ANAEFANYA BALI WANALIPA WANAOKUJA

Nikajiwazia sana ila mwisho WA siku nikaona kuendelea kupiga simu ni kama kujipendekeza sasa mana sio kwa maswali haya

Sikupata majibu ya kutosha ila mwisho WA siku nikaona kama kaongea kinafki sana

Pia mwisho nika conclude kuwa familia ya upande WA baba ni miyeyusho sana watu wanakuwaga na vinyongo vyao bila sababu za kueleweka.!!!!

HIVYO
Ni hivyo tu?Ulishakuwa na lako moyoni.Jifunze kuyaacha mengine yajipitie.Usiyakumbatie yatakulipukia.
 
Nakuhakikishia wewe ndie mwenye shida sio huyo ndugu yako. Jitafakar kwa makin utagundua shida iko kwako.
 
Back
Top Bottom