Recent content by adelinho

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kumtongoza mwalimu wako.

    Zamani walimu walikua watu wenye umri mkubwa sasahivi mwalim ana miaka 25 to 35 unategemea nini
  2. A

    JamiiForums Tanzania Picha za ziara ya mwanamfalme wa Saudi Arabia, bandari ya Dar es salaam!

    Aloo I wanted to say the same hapo hakuna mwanamfalme huyo katumwa tu kuwakilisha
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji nini, maarifa ya mtu, cheti au jina?

    Inawezekana Mungu akakupa busara na usiwe na elimu, Lakini huwezi kua na maarifa kama huna elimu
  4. A

    JamiiForums Tanzania Boss wa Home Shopping Centre 'apewa shavu' na Tanzania huko China

    Wewe mwenyewe unatakiwa kufanyiwa vetting inawezekana ukawa Mrundi wewe, rangi ya ngozi isiwe tabu ilimradi ni Mtz, angekua mweusi wala tusingesikia kitu, Acheni Ubaguzi
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wenye magari jihadhari na Camel-Oil Tabata Sanene

    Habari za uwongo + usipende kuita watu wezi,wanyonyaji wakati huwajui mwanzo wala mwisho
  6. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania waoga kutoka nje ya nchi kutafuta kazi

    Wangapi hawana kazi hapa Tz , na kwanza kufanya kazi si aibu , ilimradi rizki ya Halali , kuliko jobless
  7. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania waoga kutoka nje ya nchi kutafuta kazi

    Hii nchi ni kama shimo atakaeiingia hatoki na aliekwepo hatoki , kwanza hata kuipata Hio passport ni Job true true (Kazi Kweli Kweli) na ndo shida inapoanzia, mtu unajikuta unamaliza akiba zako zote kuitafuta passport na ukishaipata hela ya kupaa imeisha
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Cha Ndege Cha Jenerali Wa Kiarabu Serengeti

    Ikiwa sisi hatujali Ardhi yetu unataka nani aijali? Kwani hao waarabu bila kukaribishwa wangekuja vp, mimi nimeshuhudia baadhi ya misaada na na visima vilivyochimbwa na waarabu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Cha Ndege Cha Jenerali Wa Kiarabu Serengeti

    Bora hao waarabu wanachimba visima loliondo, ni msaada mkubwa kwa wale ambao hawana Wakuwasikiliza na kero zao
  10. A

    JamiiForums Tanzania Swali: Mapenzi na Wanyama Ruksa?

    Wewe unaona hiyo akili? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa abiria wanaopenda kuchukua TAXI airport!!

    Jamani mnataka ukweli Tanzania si nchi ya Amani kama tunavosema , wizi kila sehemu mpaka mtu unakua huna freedom ya kutembea kwa kuogopa kukabwa Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  12. A

    JamiiForums Tanzania Salimu: Looking for a girlfriend/Mchumba

    Ustaaaaaaaz unataka kuhalalisha zinaaaa? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  13. A

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    arsenal imekua kichwa cha mwendawazimu , Yaani tokea mashabiki walikua wanaandika in Wenger we trust mpaka sasa ni full kuzomea Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi wa kiume

    ina maana ukianza nae akiwa na 26 uhusiano utadumu kwa muda wa mwaka tu akifika 27 unabadili sio?
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hana hisia nami tena, roho inauma sana

    Achana nae
Back
Top Bottom