Mpenzi wangu hana hisia nami tena, roho inauma sana

Kaka pole sana hayo ndiyo maisha, maana yake ni kwamba maisha ni sahani iliyojaa mseto wa mambo yasiyotambulika kwetu wanadamu.

USHAURI WANGU: Kukubali tatizo ni nusu au robo tatu ya utatuzi wake. Pia kukana ukweli na ualisia wa jambo ni kujidanganya nafsi, na mwisho huwa majuto. Nakuomba usishindanae na hali halisi ya kile kinachokuja mbele yako. Achana na huyo dada atakupotezea muda wako bure, focus kwenye mambo yako ya kimaendeleo zaidi na siku moja atakuja akupendaye, hakupendi huyo........ kwake ulikuwa unamsaidia kupass time ili apate chaguo lake. nakuomba sana kijana mwenzangu kupenda najua ni janga kama utakose kuchagua.......mwombe mungu atakujalia kupata mke na sio mchumba.

akhsante sana..tatzo nlilo nalo ni jinsi ya kumsahau.
 
Mm ni mvulana, nampnz wangu nimedumu nae karibia mwaka 1, lakn kama mwezi umepita mpnz wangu ame nibadilikia sana, kwasabu nampenda nimevumilia mengi sana, cha kuchangaza nimeongea nae, ana niambia hana hisia na mm tena! Hawezi fanya chochote na mm, Sijawa mkosea pia sistahili adhabu anayo nipa..nmejaribu kumpotezea nimeshindwa, hata kuanzisha uhusiano na mtu mwingine naona ntakuwa najidanganya.. nampenda sana, roho inauma, naumia sana. Wapendwa nakosa furaha hata kula naona tabu, nina miaka 24 yeye ana miaka 21 , nime maliza chuo na yeye ndio ameingia kwaka wa tatu, kumpotezea siwezi naombei ushauri jinsi ya kurudisha hisia zake kwangu!..nina hali mbaya sana

Achana nae
 
Bora kakwambia mapema kabla hata ya ndoa kufungwa. Hapa haina haja ya kuanza kujadili sana,maana kashakwambia ukweli. sasa kazi ni moja tu tulia wanawake ni wengi na utampata mwingine.
 
Unatakiwa kumshukuru mungu kwa kukuepusha na jinamizi kabla ya hatua ya juu ya mahusiano (ndoa) . Utamsahau taratibu. Keep busy yourself.
 
Sasa nimepataa mda wa kuzungumza chochote kijana mwenzangu..

Iko hivi, wadada wenye umri kuanzia huko chini mpaka kufikia 22 hivi huwa hawajielewi, nimefanya utafiti usio rasmi nikapata jibu kuwa UMRI MDOGO katika mapenzi pia ni TATIZO katika mahusiano,

Trust me, mwanamke mwenye umri wa kutosha angalau kuanzia 23yrs hivi most of them huwa washapitia katika mahusiano ya kutosha hivyo huwa hawadanganyiki kirahisi, hawa ndiyo wanaojua thamani ya mapenzi.

Mwanamke mwenye umri mdogo hasa aliechuo huwa anachangamoto kubwa hasa kutoka kwa marafiki wanaomzunguka ambao ni rika lake, mbaya zaidi wanawake wengi waliochini ya 23yrs waliochuo huwa wanaamini maisha katika "fantasy", hawana jicho la upembuzi yakinifu wa kuona uhalisia wa maisha..(wanaamini ili uwe mwanamke hasa wa chuo lazima uhongwe, ufuatwe hostel na gari tena zuri)

Hivyo ukweli wa mambo hapo ni kwamba uwezo wake wa kufikiria hasa suala la mapenzi ya kweli na future upo chini, mwanamke aliepambana na panda-shuka nyingi za mapenzi na maisha kwa ujumla hawezi kukwambia eti hana hisia na wewe, she will struggle no matter what..

Chakufanya mwache aendelee kuneng'eneka, akishachezewa na wanaume kadhaa atapata picha halisi ya maisha na hapo ndo akili zitamrudia sasa. Fanya mambo yako, sali sana Mungu akupe kazi, huo ndiyo msingi wa furaha na maisha yako kaka,.

Mwanamke ni mtu anaejifunza baada ya kutendwa, mia
 
Mnatakiwa msipende kuombaomba wadada misamaha mnawajengea kujiamini sana hata ukikosea usijishushe kivile mpaka unaweka baby face no we komaa omba msamaha kiume sio oooo nisamehe sweet sitorudia tena I swear alafu unamuuliza umenisamehe eee akijibu ndiyo unamkumbatia alafu kiss na thanks za kutosha utajiju mbeleni
Ndiyo we unampenda je yeye anakupenda? Kwa jinsi ulivyoelekea wewe ulimdekeza sana huyo duu so anamaconfidance ya kutosha ulishamtamkia maneno ambayo hupasi kumwambia mkiwa kwenye uhusiano wa kawaida tu but kila jambo lina maana yake kaza moyo itakuchukua muda kumsahau but usianzishe uhusiano mwingine now take time bro jipange kimaisha zaidi hawa wapo tu utampata wa mbaby wa ukweee but maji ya kizidi unga tumia dume
 
Mkuu, umeniongezea kitu flani na mimi kumkichwa, hawa viumbe wanahitaji saikolojia flani ili kuwatawala.. Thanx much
 
Mm ni mvulana, nampnz wangu nimedumu nae karibia mwaka 1, lakn kama mwezi umepita mpnz wangu ame nibadilikia sana, kwasabu nampenda nimevumilia mengi sana, cha kuchangaza nimeongea nae, ana niambia hana hisia na mm tena! Hawezi fanya chochote na mm, Sijawa mkosea pia sistahili adhabu anayo nipa..nmejaribu kumpotezea nimeshindwa, hata kuanzisha uhusiano na mtu mwingine naona ntakuwa najidanganya.. nampenda sana, roho inauma, naumia sana. Wapendwa nakosa furaha hata kula naona tabu, nina miaka 24 yeye ana miaka 21 , nime maliza chuo na yeye ndio ameingia kwaka wa tatu, kumpotezea siwezi naombei ushauri jinsi ya kurudisha hisia zake kwangu!..nina hali mbaya sana

Pole mdogo wangu. Umefanya kosa kubwa katika mahusiano yako na yeye. Huku create demand, na yeye hakuona jipya. Hawa viumbe hautakiwi usomeke sana, uwe upo kama haupo. Mpende sana na kwa moyo wote, lakini, katu, ASIJUE kuwa umekufa umeoza.

Akikosea, react accordingly, siyo kakosea wewe, msamaha uanze kuomba wewe, matokeo ndo haya. Niliwahi fanya kosa kama hilo lako ilinicost sana, lakini baada ya kutosomeka ilikuwa balaa, ukikohoa yupo! Sisemi uwe katili, ila uwe mwananume!
 
shukuru mungu amesema ukweli..Ungegundua mwenyewe kwa bahati mbaya mbeleni ungeumia zaidi. Na wanawake walivyo wengii..Songa mbele utapata mwingine tuu..!
 
Namna ya kumsahau:
1. kama umeajiriwa au unafanyakazi......... kuwa busy sana kupita maelezo.. hii itakusaidia kutokuwa na muda wa kufikiri mambo ya mapenzi
2. Soma sana vitabu vya kisaikolojia kuhusu mambo ya msongo(stress) an utatuzi wake.... hili pia lita kuweka bize sana
3. Fanya mazoezi ili kuichosha akili yako wakati ambao hauna kazi ya kufanya
4. Tembea na marafiki wenye mitazamo chanya ya maisha na wenye kukushawishi kusonga mbele.
5.likubali hilo tatizo na kujaribu kuignore
6. Tafuta shughuli ya kufanya hasa muda ule ambao ulikuwa special kwa ajili yake ili kuweza kumliplace kwa namna yoyote
Kaka hayo ni machache kati ya mengi.....kuwa mwanaume unayeza kuface matatizo
Maana huo ndio ubinadamu...... hakuna maisha bila changamoto kama hizo.
 
akhsante sana' ushauri wako ni wa busara na hekima...tatizo lingine aiwezi pita siku mbili bila kunipigia simu ama kunitxt!
 
shukuru mungu amesema ukweli..Ungegundua mwenyewe kwa bahati mbaya mbeleni ungeumia zaidi. Na wanawake walivyo wengii..Songa mbele utapata mwingine tuu..!

mm ndo nilimsukuma mpaka akaniambi ukweli....kumsahau ndo tatizo
 
Mnatakiwa msipende kuombaomba wadada misamaha mnawajengea kujiamini sana hata ukikosea usijishushe kivile mpaka unaweka baby face no we komaa omba msamaha kiume sio oooo nisamehe sweet sitorudia tena I swear alafu unamuuliza umenisamehe eee akijibu ndiyo unamkumbatia alafu kiss na thanks za kutosha utajiju mbeleni
Ndiyo we unampenda je yeye anakupenda? Kwa jinsi ulivyoelekea wewe ulimdekeza sana huyo duu so anamaconfidance ya kutosha ulishamtamkia maneno ambayo hupasi kumwambia mkiwa kwenye uhusiano wa kawaida tu but kila jambo lina maana yake kaza moyo itakuchukua muda kumsahau but usianzishe uhusiano mwingine now take time bro jipange kimaisha zaidi hawa wapo tu utampata wa mbaby wa ukweee but maji ya kizidi unga tumia dume

nime kusoma sana mkuu!!..
 
Sasa nimepataa mda wa kuzungumza chochote kijana mwenzangu..

Iko hivi, wadada wenye umri kuanzia huko chini mpaka kufikia 22 hivi huwa hawajielewi, nimefanya utafiti usio rasmi nikapata jibu kuwa UMRI MDOGO katika mapenzi pia ni TATIZO katika mahusiano,

Trust me, mwanamke mwenye umri wa kutosha angalau kuanzia 23yrs hivi most of them huwa washapitia katika mahusiano ya kutosha hivyo huwa hawadanganyiki kirahisi, hawa ndiyo wanaojua thamani ya mapenzi.

Mwanamke mwenye umri mdogo hasa aliechuo huwa anachangamoto kubwa hasa kutoka kwa marafiki wanaomzunguka ambao ni rika lake, mbaya zaidi wanawake wengi waliochini ya 23yrs waliochuo huwa wanaamini maisha katika "fantasy", hawana jicho la upembuzi yakinifu wa kuona uhalisia wa maisha..(wanaamini ili uwe mwanamke hasa wa chuo lazima uhongwe, ufuatwe hostel na gari tena zuri)

Hivyo ukweli wa mambo hapo ni kwamba uwezo wake wa kufikiria hasa suala la mapenzi ya kweli na future upo chini, mwanamke aliepambana na panda-shuka nyingi za mapenzi na maisha kwa ujumla hawezi kukwambia eti hana hisia na wewe, she will struggle no matter what..

Chakufanya mwache aendelee kuneng'eneka, akishachezewa na wanaume kadhaa atapata picha halisi ya maisha na hapo ndo akili zitamrudia sasa. Fanya mambo yako, sali sana Mungu akupe kazi, huo ndiyo msingi wa furaha na maisha yako kaka,.

Mwanamke ni mtu anaejifunza baada ya kutendwa, mia

nime kusoma vilivyo...hauja kosea kitu hata kimoja...jambo jema kwangu ni kumsahau!
 
Pole sana, pia nashkuru kwa response lako!
Kama huo ndio msimamo wake, basi huna budi uachane nae huyo mwanamke, hakufai, na anaonekana anapenda makubwa!!
Kama walivyosema wachangiaji waliotangulia, Mungu amekupenda sana kukuonyesha kwamba huyo mpenzi hakufai.
Vumilia, jikaze kiume, utafute kazi, baadae Mungu atakuletea wa kukufariji, hayo mambo ni kawaida sana umri huo!!

ndo najikaza kisabuni nimpotezee! Japo ni ngumu sana...akhsante sana kwa ushauri wako
 
samaha kwa kuyatamka haya maneno........ that girl is very stupid ever, anadai hana hamu wala hisia juu yako halafu.... anafanya hayo?

Sasa kaka, huu ni ushauri wangu wa mwisho....... make call divert for her numbers, make sure you set your phone to reject her call and sms all the time. Achana na huyo mpuuzi anarudisha nyuma maendeleo yako, badala ya kuwaza mawazo ya kimaendeleo, ya namna gani ujikwamue katika dimbwi la umaskini tulionao katika jamii yetu unakalia kuwaza mambo yake which are not productive in your life. ukishindwa kufanya hivyo omba msaada kwa rafiki wako wa karibu akusaidie kuset simu yako.........au call me 0775155411 ntakusaidia.
Vinginevyo kaka tujue tu moja kuwa bado una interest nae......kama yes....... basi vumilia matusi yake....... lakini kumbuka siku moja atakuonyesha jamaa zake wakiwa wamempanda wanamduuu..... hapo sasa presha yako haitokuwa ya kupanda tena bali ya kuteremka
 
Hakuna jambo jema kama kuambiwa ukweli, shukuru mungu, take a deep breath na uendelee na safari, who knows? iko siku utashukuru alikuacha may be.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom