Hakika ili chama cha mapinduzi kilete mvuto kwa watu ni muhimu Mr Standard and speed au Sita akawa waziri mkuu.
Sifa kubwa aliyonayo ni kuwa anakubalika sana na wabunge hasa wa upinzani.
Spika atakuwa amepunguziwa sana mzigo wa maswali ambayo mara nyingi yanakosa majibu.
Serikali itakuwa...
Mkapa alianza na kuuza mashirika ya umma kwa shilingi moja na kusababisha ajira kupungua kwa kiasi kikubwa.
Kiongozi bora ni yule anayeongeza ajira na kujenga viwanda zaidi. Aliwachukia wafanyakazi wa mashirika ya umma na kuyaacha mashirika yajifie yenyewe bila kujali namna watu wachache...
Ni kiongozi pekee wakati akiwa Naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani kwenye serikali ya CCM aliyekuwa anatoa siku saba tu kwa mhalifu yeyote inchini kujitokeza na kujieleza mbele yake bila upendeleo. Aliwafanya watu waiogope serikali na mali zake tofauti na sasa ambapo serikali yenyewe...
Kuna vitu vitatu ambavyo vinamuangamiza mwanadamu navyo ni 1.prestige (kujiinua na kujioana ni bora kuliko wengine).
2. Anger (hasira). 3 Alcohol (pombe)
Katika hivi karibu Waafrika wote wana viwili au vyote vitatu. Huwa vinajionyesha sana mtu akipata vitu viwili. 1. Wealth (mali nyingi) 2...
Kwa kweli Wasira na Mkapa hawakuwa na sababu za kuwatuhumu Dr Silaa na V. Nyerere kwa sababu wao si wagombea wa ubunge Arumeru mashariki hata kama tuhuma hizo zingekuwa za kweli. Walitakiwa kukituhumu chama na sera zake au dosari za mgombea wao. Hata Chadema nao wanatakiwa kujiepusha na...
Tukumbuke. Nyerere alisomesha watu bure toka shule ya msingi hadi PHD. Watu walitibiwa bure hadi hospiatali za rufaa bila ubaguzi. Kila kijana aliyemaliza shule hata yule wa darasa la saba alipata ajira. Bidhaa zilikuwa bei chini sana kwa mfano mwaka 1985 unga wa mahindi uliuzwa shilingi 1.5 kwa...
Sumu ndiyo chanzo cha magonjwa mengi mwilini. Unaweza kupata cancer ya utumbo kutokana na sumu iliyotokana na chakula au kinywaji. Unaweza ukapata cancer ya mapafu kutokana na kuvuta sigara kwa maani hiyo wewe mwenyewe unakuwa umejipatia sumu. Kwa hiyo hatuwezi kusema kuwa Dr Mwakyembe amelishwa...
Mwili wa mtumishi wa Mwakyembe ukafukuliwe na kupimwa ili kujua alilishwa sumu kweli. Pia tufuatilie alipokufa nani alifanya postmortem na aligundua amekufa kwa sababu gani.
Huko Marekani Oswald alipomuua Kennedy, askari walipomkamata kwa mahojiano, askari moja alimpiga risasi na kumuua...
Lengo la rais ni jema sana, read between the lines. Lengo lake kubwa ni kuvunja makundi yanayowania urais sasa kwa sababu kumekuwa na uhasama mkubwa sana hata kufikia kulishana sumu. Makundi haya yote karibu yana umri sawa na Rais au zaidi. Wakijua kwamba chama hakitawateua kugombea basi...
Kama neno mstaafu limetumika vizuri in maana Lowasa hatateuliwa tena kuwa waziri mkuu. Bado anahamu ya kufanya kazi huyu. Ukistaafu huwezi tena kurudia kazi hiyo kama mtumishi wa kawaida ila unaweza kupewa mkataba wa muda mfupi.
Kwa nini basi na mawaziri wengine walioacha kazi wasiitwe mawaziri...
Anayeandaa harambee hii si kiongozi wa Dini. Anaishi Dar na bila shaka ni mwenyeji wa ifakara.
Wale viongozi wa Dini wa Ifakara wanafanyiwa tu na kwa sababu shida yao ni pesa, basi yeyote atakayewapelekea watazipokea. Mnakumbuka hata Rostam Azizi aliitwa kwenye harambee na Kwaya moja ya Kanisa...
Kagame amejifunza mengi toka kwa hayati Mwal Nyerere ila tu yeye anasimamia uchumi wa kibepari wakati Nyerere alisimamia uchumi wa kijamaa.
Hata Nyerere angesimamia uchumi wa kibepari bado andefanya vizuri kuliko Kagame.
Hawa watu wawili wanaweza kuwa na asili moja. chunguza sana maumbo yao na...
Huu ni wivu zaidi kuliko ukweli.
Nyumba iliyoko Arusha ni ya kawaida kabisa na kwa muda aliotumikia Bunge anastahili kuwa nayo.
Siku anafungua nyumba hiyo hata mfadhili wa watoto uaowasema alikeopo na alimsifia sana kwa juhudi kubwa anazofanya kuwaendeleza watoto wasio na uwezo.
Kwenye jimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.