Kikwete muondoe Lazaro Nyalandu kwenye baraza la mawaziri, hafai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete muondoe Lazaro Nyalandu kwenye baraza la mawaziri, hafai

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JOBE, Feb 21, 2012.

 1. J

  JOBE Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naibu waziri wa viwanda na biashara, Lazaro Nyalandu hafai kurudishwa kwenye baraza hilo iwapo rais Kikwete atafanya mabadiliko hayo. Lazaro ni fisadi aliyejificha kwenye ubavu wa kanisa,mbinafsi na anayetumia watoto yatima na watoto wa maskini kupata misaada toka marekani na kisha huzitumia funds hizo kwa manufaa yake mwenyewe kama kujenga jumba la kifahari huko Arusha, sanawari juu katika kijiji cha Ilkerevi.

  Kwa mtu anayepata pesa kwa jasho lake kamwe hawezi kujenga jumba mfano wa ikulu halafu jumba lenyewe haikaliwi na watu sababu yeye na familia yake wanaishi Dar es Salaam, arusha wanaenda na kukaa siku chache. Mimi ni mkazi wa Dar na Laz ni rafiki yangu namjua ndani nje. Pesa Laz alizotumia kwa jumba hilo si pesa za kawaida,na alipohamia alihamia na kila kitu kipya huku akifanya tafrija kali ya kuukaribisha mwaka 2012 na kuwaalika marafiki zake.
  How i wish angetumia nguvu na akili anayotumia kwa maendeleo yake binafsi kwa wakazi wa jimbo lake wanaokaa gizani kwa kuahidiwa umeme muda mrefu bila mafanikio.

  Mbaya zaidi ni jinsi anavyowatumia watoto wa maskini na yatima kwa kuwapiga picha na kuwaahidi pesa za shule bila mafanikio .You ll pay for this Lazaro, one day, you have kids too,what you are doing to others will be done to your offspring one day, kumbuka biblia inasema "NITAWAPATILIZA WANA MAOVU YA BABA ZAO"!

  Lazaro anatumia ujanja wa kihunihuni zaidi ambao haupaswi kutumiwa na mtanzania yeyote leave alone waziri.Hana weledi wa kuwatumikia watanzania kabisa.

  I SUBMIT
   
 2. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  where's evidence??
   
 3. A

  Adaha Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huu ni wivu zaidi kuliko ukweli.
  Nyumba iliyoko Arusha ni ya kawaida kabisa na kwa muda aliotumikia Bunge anastahili kuwa nayo.
  Siku anafungua nyumba hiyo hata mfadhili wa watoto uaowasema alikeopo na alimsifia sana kwa juhudi kubwa anazofanya kuwaendeleza watoto wasio na uwezo.
  Kwenye jimbo lake amepanga kufikia mwaka 2015 kila mwanainchi awe anaishi kwenye nyumba ya kisasa. (operation ondoa nyumba za tembe).
  Nahisi wewe una chuki binafsi na Nyalandu kwa sababu umeona analenga mbali na atakuwa mkombozi wa wanyonge wote wa Tanzania.
  Kuna mafisadi wa kuongelea ambao wamechota mali zetu za ndani lakini husemi na hujawahi kusema chochote.
  Kama unamapungufu na yeye umemwomba akakunyima jitahidi kuwa mvumilivu na usichoke kuomba.
   
 4. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I KNEW THIS, THAT'S WHY I SAID WHERE'S EVIDENCE.

  YAANI INAONEKA KABISA ANACHUKI NAYE BINAFSI. NACHUKIA SANA VIONGOZI WENGI WA CCM LAKINI lazaro is one of my favorite minister. he's kind an enthusiastic leader.
   
 5. J

  JOBE Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  You dont know Lazaro well my dear! nilichokisema ni kweli na yeye mwenyewe anaujua ukweli!
   
 6. L

  LISAH Senior Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Masikini Lazaro anadhani anarafiki kumbe adui.
  Unafiki mkubwa huu siku hiyo ukaenda ukajichana.
  Kwanini lakini umuonee wivu rafikiyo hivyo?
  Nakama ungekuwa rafiki mzuri ungemwita umkanye kivyako c kuleta mambo yake hapa huku unadai ni rafiki yako
  too low!
   
 7. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  NYIe ndo wale mkipewa madaraka mnakomesha, yani kisa mwenzako kapata ww umeweka shonde 2 that extent? Hebu acha roho ya kwa nini Wewe....Fanya kazi nawe utapata chako, Kama una ushahidi wa huo ufisadi wake lets evidensi sio kubwabwaja tuuuu
   
 8. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,928
  Likes Received: 1,461
  Trophy Points: 280
  Imekaa mno kiwivuwivu na unafiki as per your status(rafiki),hata kama Lazaro ana mapungufu yake lkn nyumba unayoisemea ni ya kawaida kwa mtu kama yeye,sema ufisadi mwingine ili tujiridhishe
   
 9. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mabadiliko sio kuondoa nyalandu.
  Mabadiliko ni kubadilisha serikali nzima, Kikwete namba moja
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,312
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  Muacheni Raisi mtarajiwa ambaye wamerekani ndo wanamuotesha awe Rais
   
 11. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,672
  Trophy Points: 280
  Mzee Job hebu weka picha hawa watu wajue kitu unachomaanisha sababu nahisi wengi wanao kupinga either ni mafsad au wajukuu wa mafisadi, mtu anasema jumba kama ikulu ninyi mnasema ni ya kawaida???
  Hakuna wa kumwamini hapa bongo.
   
 12. R

  RUTARE Senior Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani Nyalandu amehamia Arusha?
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kama anafuja hela hao wanaompa si huwa wanakagua miradi?Au kwa Nyarandu hawaji kukagua if so then watakuwa wanaitumia iyo centre kama Scapegoat kuna biashara nyuma ya pazia.
  Niko na NGOS quartely wafadhili hutuma watu wao kukagua kazi na maendeleo ndo wanaleta mkwanja kama wanaridhika na walichokiona
   
 14. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Siasa za kuchafuana..tueleze ufisadi wake especially in relation to Wizara anayoisimamia..
   
 15. k

  kasenene JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 6, 2008
  Messages: 715
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 80
  Mkuu sababu uliyotoa siyo ya msingi kwani haihusiani na Uwaziri wake pengine ungesema ile ua uraia wa nchi mbili ndo inafaa kumuondoa japo nasikia kumeshawekwa mpango mkakati wa watu wa immigration isionekane kuwa ana urai wa nchi mbili,.hii ndio Tanzania niijuayo.......ingekuwa nchi za wengine kwa kashfa hii ya uraia angesharudishwa kwao Marekani achilia mbali kuvuliwa uwazir.
   
 16. T

  The Priest JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  [​IMG]Junior MemberArray


  Join Date : 21st February 2012
  Posts : 2
  Rep Power : 0





  hii ni chuki yaaaani umekuja leoleo na majungu,unalipwa sh ngapi weye?
   
 17. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,544
  Likes Received: 18,184
  Trophy Points: 280
  Kila kukicha 'hate prechers' wanaongezeka humu jukwaani, haswa watu wenye roho ya kwanini!. Dua la kuku halimpati mwewe!.
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Yap.
  NI kweli anaandaa makazi ya hatari huko mlimani!...Na huko ndiko alikoalika wageni na kuwajulisha kuwa Wamarekani wanataka awe rais wa Tz!
   
 19. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #19
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Kwenye huu uzi naoana kama kuna chuki binafsi!
   
 20. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #20
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Na kama ni kweli kua Nyalandu anawania kua raisi wa Tano Tanzania na amejenga jumba kubwa kama Ikulu basi kwasisi wa huku Arusha itakua neema kubwa Ikulu kuhamia Sanawari ya juu!
   
Loading...