Recent content by ACID

  1. A

    Polisi wafanya unyama mpya mgodini Nyamongo

    Heshima yetu ilipungua sana....! Lazima tuchukue hatua kama polisi hasa inapofika wakati raia hawatak kutii sheria bila shuruti
  2. A

    Mh Mbunge Ahmed Shabiby ni mkwepa kodi!

    Utafiti wa kitaalamu unaonyesha mh MBUNGE,AHMED SHABIBY....ndio anaongoza kwa kukwepa kodi kwa kutokulipa mapato stahiki kupitia ma BUS yake..! Usajili wa ma bus yake unaonyesha...NI ma bus 10 tu ndio yanayolipa kodi na kusajiliwa kihalali,yaliyobaki yamesajiliwa kama toyota pick up,na mengine...
  3. A

    Mauwaji ya Songea,police 4 sasa mbaroni.

    Na uchaguz wa 2015...tutawamwaga wengi kwa ujinga wao na upumbafu wetu!! Niachen na ujinga wangu! Kwa taarifa yako mim ndio kamanda msaidiz wa kikosi cha F.F.U songea!!
  4. A

    Mauwaji ya Songea,police 4 sasa mbaroni.

    Sis tunajua kamwe hamtupendi...lakin hyo ndio hali HAlisi,!kipo kifungu cha sheria kinachompa askar mamlaka ya kutumia silaha yake..! G.Thinker fikiria kama ni wew ndio askari...na umepewa silaha then unapigwa mawe na kundi la watu wenye jazba!
  5. A

    Mauwaji ya Songea,police 4 sasa mbaroni.

    Wadau,hebu fikirien upande wa pili,HV ASKARI BUNDUKI AMEPEWA YA NIN?mnataka atulie tu apigwe mawe wakati ana silaha na matumiz yake anayajua....!
  6. A

    Tigo acheni wizi wa kijinga,nafungua kesi ya madai

    Wadau...mjanja kuibiwa ni aibu..! Ni kuwapiga chini tu...! Wizi wao umekuwa zaid ya VODA sasa!
  7. A

    TRA, BoT wanalipwa mishahara minene kuliko maprofesa’

    Hzo scale ni za watumishi wa chini ya wakurugenzi,ktk pay roll wagukurugenzi mishahara yao imeandikwa fixed na hawajaonyesha viwango,! Hii ndio serikali ya Chukua Chako Mapema(C.C.M) inavyokwenda!
  8. A

    TRA, BoT wanalipwa mishahara minene kuliko maprofesa’

    TRA mtumishi wa chini gros salary 482,500/ na wajuu ni 5,755,000/ hapo ni nje ya posho zao...! Na ukifanya kaz nje ya ofisi,per day ni 15% ya salary yako! Bot mtumishi wa chini salary pamoja na allowance nyingine ni 872,500/ na wajuu ni 8,656,000/ nje ya malupulupu!
  9. A

    Mohamed trans na moro best banned!!!!!!

    ma bus ya wanasiasa hayahusiki ktk kusimamishwa! TAMBUENI HILO
  10. A

    Polisi haisamini wasomi vijana

    NDUGU,pamoja na kwamba unatakiwa uvumilivu...ila huku polisi kinachoharibu zaid ni uwezo wa kuongoza kwa viongoz wao! mtu kama mwema,alitakiwa awe shekh,pia mwema alishakuwa raia alipokwenda interpol..kwahyo kumpa jeshi ni sawa kumpa bata mayai ya kuku atotoe vifaranga!
  11. A

    Wabunge vs siasa za IGP

    Wik iliyopita tuliona jinsi boss wa polisi anavyojaribu kuwaonyesha wabunge jesh linavyopiga kazi,! akisema jesh letu linazingatia USASA NA WEREDI..! Wewe mwema..usasa na weredi upi zaid ya kuimarisha matabaka ndani ya jesh?GAP kati ya askar mdogo na ofisa wake ni kubwa...! watendaji PHQ wameoza...
  12. A

    Tunamkumbuka igp mahita

    Ni muda umepita na umeanza kusahaulika,lakin ujasir wako ktk maamuzi ya manufaa kwa askari wadogo,inatufanya tukukumbuke AFANDE MAHITA,mwenzako huyu kwa vile ameteuliwa KISIASA,yaani ndio ameligawa jeshi,ki-uongoz,kikabila,ki-mikoa,kwa sura,kwa vyeo,na kibaya zaid hana utetez kwa askari wadogo...
  13. A

    Jeshi la polisi tanzania

    NI KWELI IGP AMESHINDWA KUSIMAMIA UTEKELEZWAJI WA SERA ZA MABORESHO NDANI YA JESHI KUPITIA MIHIMILI YAKE YA POLISI JAMII,WEREDI NA USASA?INAWEZEKANA KWANI,ASKARI BADO HATUJAONA KIVITENDO USASA JESHIN ZAID YA KUPATIWA VITENDEA KAZ VYA KISASA,PIA HUO WEREDI,WASOMI NDIO VITA NA VIONGOZ WETU WAKO...
Back
Top Bottom