Tunamkumbuka igp mahita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunamkumbuka igp mahita

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ACID, Aug 15, 2011.

 1. A

  ACID Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni muda umepita na umeanza kusahaulika,lakin ujasir wako ktk maamuzi ya manufaa kwa askari wadogo,inatufanya tukukumbuke AFANDE MAHITA,mwenzako huyu kwa vile ameteuliwa KISIASA,yaani ndio ameligawa jeshi,ki-uongoz,kikabila,ki-mikoa,kwa sura,kwa vyeo,na kibaya zaid hana utetez kwa askari wadogo ki maslah wala ki'-promotion! TUNAKUKUMBUKA BABA MAHITA
   
 2. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ngunguri cuf wanamjua.vipi posho 150000 mmepata,au mmeambulia vitisho?
   
 3. M

  Mzee wa Usafi JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 634
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Kweli ndugu yangu....maana jeshi sasa limekuwa tawi la chama fulani. Uhamisho wa watendaji kazi wazuri kama Sirro na Matei wote si wakufuata maslahi ya watanzania kwa ujumla bali ni wakisiasa tu.....Jeshi limejaa MaOCD na RPCs wa kutoka Kilimanjaro utafikiri hakuna watumishi wengine wazuri..!!!! Kama uhamisho ni kwa kila askari mbona msukuma wa nyashana (Afande Matanga),mkuu wa chuo cha polisi Moshi, yeye haumgusi?? Au kwa kuwa anarudisha posho kwa wakubwa... Mahita alikuwa na matatizo yake lakini tukipima mbaya na mbaya zaidi basi ni heri ya mbaya
   
 4. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Chini ya utawala wa baba Riz One, kila sehemu kuna mapungufu, nachowaomba maaskari, siku wananchi wakiingia barabarani, na mkatumwa mje kupiga mabomu ya machozi, mtusapoti kwa nyinyi kugoma.
  Dawa ni hiyo tu. tushikamane tutawang'oa tu.
   
 5. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Da hakika Mwema kaharibu Jeshi,sasa hivi ni kweli vyeo na post zinatolewa kwa ukabila na kujuana, Sirro na Matei wote ni watu wa musoma,siro akiwa mzanaki wa kiabakari na matei ni mkurya wa migungani wilaya ya Bunda,hawa watu ni watendaji wazuri sana na wanafuata taratibu zoote na sheria za Jeshi la polisi! ikumbukwe kuwa baada ya Lema(CHADEMA) kushinda uchaguzi arusha mjini Matei alihamishwa kwani alikataa uchakachuaji usifanyike kwani ungeleta umwagaji damu na yy km RPC angewajibika. Vivo hivo kwa sirro nako alishinda Wenje(CHADEMA) na alikataa pia uchakachuaji usifanyike kwa kuwa alijua fika asilimia kubwa ya watu walioko mwanza ni wakurya na hawana mchezo akisema nakukata panga anakata kweli hana muda wa kuremba, na walikuwa tayari wamejipanga kwa hilo! SS ccm baada ya kuona hivo,walishindwa kumuhamisha Sirro Mwanza kwani alikuwa na miezi kama mitano hivi tangu ahamishiwe Mwanza akitokea RPC Tanga! Hali km hii ilimtokea Venance Tossi alipopelekwa Kilimanjaro kuwa RPC haikuchukua muda baada ya kumuumbua mwenyekiti wa ccm mkoa/wilaya(niko tayari kusahihishwa) akihusika katika ujambazi,wakaona huyu atatuharibia,wakampeleka Kagera,huko vilevile akambana mwenyekiti wa ccm mkoa,wakaona aaah! sasa huyu dawa ni kumpandisha cheo ili arudi makao makuu anatuharibia,na ndivo ilivokuwa!

  Haihitaji elimu ya darasa la 7 kujua Mwema ni mdini na mkabila angalia kwa mfano RPC Masawe (mchaga) alivo bomu na kuharibu Tarime bado anampeleka Kuwa RPC Tanga,na aliyekuwa Tanga km RPC bwana SABAS (mchaga) kampeleka Manyara,pia kampeleka Diwan Athuman Msuya (muislam na mpare) kuwa RPC Shinyanga ambako inasemekana hana mahusiano mazuri na maofisa,maaskari na wananchi. Hayo ni machace tu yaan ni hakuna kitu
  Mbaya zaidi kuna mchaga mwenzake anaitwa Neven Mashayo,huyu alikuwa Chief of Administration makao makuu juzi kati kapokea Rushwa ya shilingi milioni moja na kumpeleka askari mmoja kusomea nyota moja,hizo pesa ziliwekwa kwenye akaunti yake crdb,ilivobainika uchunguzi ukafanyika wa kipolisi na kukutwa ni kweli,alichokifanya Mwema kumlinda ni kumbadilisha hiyo post na kuwa mkuu wa idara ya tathimi na ufuatiliaji ndani ya jeshi! Sasa hapo mnasema huyo ni IGP? hayo machace ni kero tupu,ukienda kwa wakuu wapolisi wa vituo(OCS) na wakuu wa polisi wa wilaya wa upelelezi (OC CID)utakuta wengi ni wachaga au wana uhusiano wa karibu naye!


  Mungu ibariki Tanzania
   
 6. BABU CHONDO

  BABU CHONDO JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  yaaaaaani yana ukweli kbs ,kuhusu matei tena ni kweli kabisa
   
 7. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Poleni sana wapiganaji.Muendelee kuwa wavumilivu kama ilivyokawaida yenu.Hata hivyo endeleeni kuwa karibu na Mhe.Mnyika bila shaka atawasemea.Hivi nani kati yenu mwenye list kamili ya ma RPC,RCO,SO.I,OCD,OC-CID na OCS wachaga na hawana sifa?
   
 8. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  tatizo kubwa la hizi post si qualification,bali ni IGP mwenyewe kuona huyu nikimuweka hapa naeza pata ki2 chochote,sasa inakuwa taabu,make kuna wengine maamuzi yao utafikiri wanatumia masaburi kufiria
   
Loading...