Wabunge vs siasa za IGP | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge vs siasa za IGP

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ACID, Aug 16, 2011.

 1. A

  ACID Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wik iliyopita tuliona jinsi boss wa polisi anavyojaribu kuwaonyesha wabunge jesh linavyopiga kazi,! akisema jesh letu linazingatia USASA NA WEREDI..! Wewe mwema..usasa na weredi upi zaid ya kuimarisha matabaka ndani ya jesh?GAP kati ya askar mdogo na ofisa wake ni kubwa...! watendaji PHQ wameoza kwa rushwa..hakuna file la askar kutoka mikoani litakalofanyiwa kaz pasipo KUKATA...PESA..!
   
Loading...