Jeshi la polisi tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jeshi la polisi tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ACID, Aug 11, 2011.

 1. A

  ACID Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NI KWELI IGP AMESHINDWA KUSIMAMIA UTEKELEZWAJI WA SERA ZA MABORESHO NDANI YA JESHI KUPITIA MIHIMILI YAKE YA POLISI JAMII,WEREDI NA USASA?INAWEZEKANA KWANI,ASKARI BADO HATUJAONA KIVITENDO USASA JESHIN ZAID YA KUPATIWA VITENDEA KAZ VYA KISASA,PIA HUO WEREDI,WASOMI NDIO VITA NA VIONGOZ WETU WAKO RADHI NA WANAFURAHI KUONA PROFESSIONALS WANAVYOACHA KAZ...IGP HVI UNAJUA WENGINE HATUNA WATU WA KUTUSAIDIA HUKO MAKAO MAKUU?ANGALIA UPYA WATENDAJI WAKO HASA OFISI YA OPERATION NA MAFUNZO NA MABORESHO..! SIWEZ KUAMINI
  http://m.google.com
   
 2. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Pole, Acid. Kama kweli we msomi na unabaguliwa huko polisi, tafuta kazi nyingine kama hao professionals unaowasema waliosepa.
   
 3. olele

  olele JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  tatizo kwenye professional watu wanaingiza siasa, ni kweli aliahidi lakini si ndo zilezile siasa tu unaahidi ambacho
  unajua kabisa huwezi kutekeleza, tutawavua gamba wote hao
   
 4. K

  Karry JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  wewe ni polisi mbona sie wananchi tunaona utendaji wenu ulivyobadilika kabla ya uongozi wa mkuu mwema?
   
Loading...