Mohamed trans na moro best banned!!!!!!

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
SUMATRA imeyafungia mabasi ya kampuni za MOHAMED na MOrobest kwa muda usiojulikana ili kupisha uchunguzi wa kina juu ya ubora wa mabasi hayo,pia sumatra inajiandaa kusubiri taarifa ya ajali ya nasi la simba ,mtoto,tayari SUMATRA IMESHAIFUNGIA KAMPUN YA CHAMPION,,,,,

SUMATRA Wanajisafisha ili waonekana wanatekeleza majuku yao, lakini ukweli hicho ni kiini macho.
Utashangaa kesho imeibuka kampuni inaitwa MO-best, Medi-Trans, Champs Trans etc etc.... lakini utashuhudia wamiliki ni wale wale wa hayo mabasi yaliyosimamishwa!!

SUMATRA imeyafungia mabasi ya kampuni za MOHAMED na MOrobest kwa muda usiojulikana ili kupisha uchunguzi wa kina juu ya ubora wa mabasi hayo,pia sumatra inajiandaa kusubiri taarifa ya ajali ya nasi la simba ,mtoto,tayari SUMATRA IMESHAIFUNGIA KAMPUN YA CHAMPION,,,,,
SIO MOHAMED TRANS N MOHAMED CLASSIC!

Asante mdau

Baada ya Kikwete kuwabatukia ndio wanaanza kufanya kazi.

Hivi nyinyi Watanzania Rais afanye kazi ngapi?

Sumry halimo na bado tuna kumbukumbu ya maafa yake kwa ndugu zetu...t's rediculous!!

Mohamed Classic, ilikuwa ni bomu linalosubiri kulipuka, nilipanda basi mwaka huu toka Kahama kwenda Arusha, tulifika kwa Bahati ya siku hazijafika,Dereava na kondakta wanavuta mirungi na sigara muda wote wa safari, wanajaza abiria kupita kiasi, hawana heshima kwa abiria,basi linakimbizwa kama liko kwenye mashindano kweli nilisema sintopanda tena basi la MOHAMED CLASSIC, NI BASI LA HOVYO SAAAAAAAAAAAAAAAAANAAAA

Sababu ya MORO-BEST kufungiwa ni ile ajali yake ya RUVU ambayo ilihisisha na msafara wa mama salma,,,,,,,,,ndivyo walivosema jana,so hapo inaonesha kuwa bila ile ajal baaaas wangepeta

ma bus ya wanasiasa hayahusiki ktk kusimamishwa! TAMBUENI HILO

labda hapa tutaelewana,,,,,,,kama ni kufuatilia ubora wa mabasi,sidhan kama kuna litakalobaki barabarani

Back
Top Bottom