Mh Mbunge Ahmed Shabiby ni mkwepa kodi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh Mbunge Ahmed Shabiby ni mkwepa kodi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ACID, Apr 25, 2012.

 1. A

  ACID Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utafiti wa kitaalamu unaonyesha mh MBUNGE,AHMED SHABIBY....ndio anaongoza kwa kukwepa kodi kwa kutokulipa mapato stahiki kupitia ma BUS yake..! Usajili wa ma bus yake unaonyesha...NI ma bus 10 tu ndio yanayolipa kodi na kusajiliwa kihalali,yaliyobaki yamesajiliwa kama toyota pick up,na mengine as motorcycle...! HYO NDIO KAZI YA TRA
   
 2. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mbona kwaida hiyo ,ukiona hivyo hayo mabasi wakati yanaingia hayakulipiwa kodi ,yameingilia njia za panya wakishirikiana na wezi TRA wa mipakani wakayarasimisha kwa kuyapa namba za bajaji.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Shamba la bibi.
   
 4. K

  KADOLA Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenye nyaraka husika tunaomba atupie hapa ili tuweze kuzichambua ipasavyo

  HAKIKA TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO
   
 5. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Haraka sana nyaraka, watu kama hawa hawafai wawepo Tz, Wafunwe, au Wanyongwe au wafukuzwe nchini mara moja..ila kama ni raia aswekwe ndani..Kwanini wanamnyanyasa Mwale peke yake? hawa Wahindi na Waarabu kwa jinsi wanavyolindwa na Serikali wao wasubiri maana siku ya ukombozi tunaanza na wao kwanza.
   
 6. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  sishangai hawa waarabu na wahindi ni mabahili mbaya
   
 7. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Dawa ni kuanzisha Independent controlar wa kukusanya kodi, kila mkoa au kanda, uone aibu ya TRA itakavyokuwa.
   
 8. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wafanyabiashara wakubwa wengi wamekimbilia kwenye ubunge ili wakwepe kulipa kodi, wako wengi tu huyo akiwa mmoja wao. Ngoja CCM itolewe madarakani tutawaona, tutawadai miaka yote waliyokwepa.
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huu ni uzushi na uongo usio mfano. Umenyimwa kazi nini? au umefukuzwa kazi na Shabiby?
   
 10. m

  mchambakwao Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuliwa na wenye MENO,ha ha ha ha ha!
   
 11. b

  buswe Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hiyo ndiyo sababu kubwa ya wafanyabiashara kugombea nafasi za uongozi. wanataka uongozi ili wapate mwanya wa kukwepa kodi au kujitwalia mali ya umma. Hongera Acid kwa kufichua uovu huo, watanzania wote tuungane kufichua uovu ili hatimaye kwa pamoja tutafute njia bora ya kuwawajibisha viongozi waovu sisi wenyewe maana serikali imeshindwa kusimamia uwajibikaji.
   
 12. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,348
  Likes Received: 6,698
  Trophy Points: 280
  nadhani hili ni zaidi ya shamba la bibi,kwani kuna wakati bibi naye anakuwaga mbogo na kukataa upuuzi wa wajuu!!hili mi nadhani ni shamba la marehemu!
   
 13. share

  share JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2008
  Messages: 2,294
  Likes Received: 2,278
  Trophy Points: 280
  Lete data please tuweze kuzifanyia kazi. Japo hali halisi ya jinsi nchi inavyoendeshwa kisanii hilo pia lawezekana, lakini muda wa kupiga porojo umeisha sasa. Tupe data za uhakika sisi wengine tufanye kazi kuisumbua serikali. Hutatuona tukibwabwaja mtandaoni bali kazi utaiona. Wakati wa ukombozi ni sasa. Nchi haieleweki inakokwenda. Kujitoa mhanga kwahitajika kulinusuru taifa.
   
 14. m

  mgadafi Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  dua la kuku jipange vizuri tena ubane makalio hasa
   
 15. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Atakuwa anakula na Mkulo
   
 16. SIMBA mtoto

  SIMBA mtoto JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 208
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tupe ukweli wa biashara zake na malipo ya kodi yanavyofanyika.
   
 17. k

  kanganyoro Senior Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni aibu
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kawaida hakuna hata mmoja wakujaribu kusema ni msafi ccm wote wanatumia njia mbalimbali kujichukulia chao kwenye hili shamba la bibi
   
 19. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  .Ok; kwa kuwa huu ni "utafiti" tueleze: study population ya utafiti wako ni ipi?, wahindi/waarabu?, wamiliki wa mabasi? Wamiliki wa kampuni za usafrishaji? Wabunge?, wafanyabiashara wa morogoro?. Sample size yako ni ngapi mpaka u-justfy kuwa anaongoza kukwepa kodi?. Usiponieleza haya nitaendelea kushawishika kuwa unaloneno zaidi ya kukemea ukwepaji kodi. Usitumie JF kama mahali pa kumalizia hasira zako.
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mdau thibitisha kwa vielelezo basi,coz mtoa mada ameambiwa avilete
   
Loading...