Recent content by Abx

  1. Abx

    Baba yangu hakuniachia urithi lakini ndugu zangu wengine wamepewa wote, je nikijitenga na ile familia nakosea?

    Kama hakutoa sababu za kwanini hakukupa urithi wakati wewe ni mrithi halali unaweza kupinga wosia huo
  2. Abx

    Watanzania tuache maneno hakuna mgao bali ni maboresho ya vituo vya kupoozea Umeme

    Wao wamesema kuna mgao, wewe unakanusha una akili
  3. Abx

    Msaada: Mtu aliyepata Divison 4 anaweza kusomea nini?

    TPC Moshi akasome uaskari polisi au TPSC akasome usekretari Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Abx

    Huo si Uanaume hata kidogo.Lazima muambiwe Ukweli nyie Watoto wa Kiume

    Ni wa dar tu, sisi mikoani hatupo hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Abx

    Series nilizowahi tazama na ninazotazama sasa

    Naitafuta bila mafanikio mkuu may be ugeni wa teknolojia nitajie source moja wapo msaada pls
  6. Abx

    Series nilizowahi tazama na ninazotazama sasa

    Strike backs naipataje mkuu
  7. Abx

    Maisha wilayani Missenyi ni magumu

    Hama, kwani lazima ukae huko
  8. Abx

    Nimekuta hii kitu ndani kwangu nipeleke wap

    Peleka Facebook
  9. Abx

    Asante M-PESA kwa gawio

    Ee unafikiri pesa inakaa tu mpesa kuwapa watu faida, pesa inazunguka kuleta myingine mkuu, umeweka laki mpesa mwezi, unapata gawio la 2000, ungeizungusha hiyo unapata kiasi gani
  10. Abx

    Unajitahidi Usichepuke kumbe wewe ndio Mchepuko

    Kama aliolewa mwajuma, asiwe yeye!
  11. Abx

    Hawa jamaa ni waukweli au wapigaji..?

    Nilifanya nao niashara kama mara 4 hv, marabya mwisho walizingua na mpaka leo sijaupata mzigo wangu, kwenda pale kwa ofisi zao kisiwani masaki nlikutana na kidada kimoja kinamajibu kama choo, nikaachana nao, ingawa nilipanga kuwapeleka mahakamani badae nikapotezea
  12. Abx

    Baadhi ya wanyama wahamishiwa hifadhi ya Burigi

    Jiji la wanyama
  13. Abx

    Mtaani kuna pesa nyingi sana inayotafuta wahitaji

    Hizi hesabu huwa zinatengeneza faida sana wakati wa kutengeneza idea, ila ukianza practice things are different, kwa faida hiyo kwa siku wengi tungekuwa tunauza mahindi, kwanini nikaajiliwe na kulipwa laki 5 wakati naweza kutengeneza mamilion kwa mwezi 90,000x30=2,700,000
  14. Abx

    Kilichomponza mwl aliyepigwa kifungo cha kunyongwa, ni tabia ya wanaume wengi

    Sio pepo alileta sifa za kihaya mpaka kwenye kupiga, anyongwe tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Abx

    Kilichomponza mwl aliyepigwa kifungo cha kunyongwa, ni tabia ya wanaume wengi

    Mbushuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom