chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,652
- 2,146
Hahah.voda wapongezwe
Gawio lako umetumiwa katika line ya tigo?View attachment 1135832Mimi nimetumiwa mara mbili!
Hata hiki kidogo, shukraaan!
Mimi nilipata jana 26240 na leo nimepata 8900. Ili uweze kupata gawio la kutosha jenga utamaduni wa kuweka pesa kwenye akaunti yako bila kutoa angalau kwa mwezi mmoja. Km unaingiza pesa na kuzitoa hata ungefanya miamala ya thamani kubwa kiasi gani haitakusaidia kupata gawio kubwa. Nawashauri mjitahidi kuweka akiba kwa kuweka pesa kwenye akaunti zenu kupitia wakala M-PESA na si kutumiwa na mtu. Pesa ya kutumiwa haihesabiwi. Zile pesa unazoweka akiba kwenye akaunti yako huwa zinaingizwa kwenye mzunguko wa biashara na ndo maana unapata gawio. Mfumo wa mpesa ni mfumo uleule wa bank.