Unajitahidi Usichepuke kumbe wewe ndio Mchepuko

Daah!! Maisha bhana hayako fair unakuta mtu anajitahidi kweli asichepuke unatulia na mpenz wako na hapo unakuwa unampenda kweli yaan unakuwa na true love, masikini kumbe wewe ndio mchepuko inauma sana, sema hili ndo love game but get used to it.

Kama hujaoa/olewa please nawapa ushauri usimwamin huyo anaesema anakupenda hasa wanawake usiwaamin kabisa akikukwambia anakupenda na hana mwingine zaidi yako usiamin anacheza na akili yako tu. We kula ukichoka piga chin tafuta mwingine

Mwisho kabisa cha muhimu ni UHAI tu
Mwana FA alishasema
"Kuna watu walijitunza, lakini wakafa kwa uaminifu wao".
 
Alokuambia mtuu ambae sio mwanandoa anakuwa na mchepuko nani..?
Aliyeoa akiwa na mtu mwingine mbali na mwanandoa huo ndo mchepuko kijana,usitupotezeee maana ya mchepuko.

Alafu wewe unajiona uko special sana kwa huyo mtu mpaka ujiaminishe uko peke yako bwa mkubwa..?

Ikiwa wewe umetumia mbinu zako ukawa umempata mwanamke ukala maini bila ya ndoa,hivi inashindikana vipi kwa mwingine akamjia mwanamke huyo akatumia njia zake naye akala maini bila ya ndoa..?

Unadhani unakitu special sana cha kumfanya yeye awakatae wengine ambao wanakuja na swaga kama zako au zaidi yako alafu awakatae kwa ajili yako wewe..?

No no no baba.sasa wewe umepata demu chuo tena umempata na kula siku hiyo hiyo au wiki hiyo hiyo tena bila ugumu wowote ule,hivi unategemea mwenzio akataliwe tu mkuu..?

Mwanamke anayekupa uchi kabla ya ndoakwa kigezo ati amekuaminibasi jua anauwezekano mkubwa wa kumuamini mwanaume mwingine naye akampa uchi kwa kigezo kama chako hicho cha kumuamini.

Unajiaminisha vipi kwamba anakupa peke yako?
Miongoni mwa dalili ya mwanamke mstaarabu ni kukunyima uchi kabla ya ndoa.

Mwanamke mwema hatakiwi kumuamini mwanaume yeyote asiyekuwa mumewe, ukiona mwanamke amekuamini wewe ambaye bado hujamuoa na akakupa tunda kabisa basi jua ana roho nyepesi zaidi ya ule wepesi wa wanawake na kuna uwezekano akaja mwingine na swaga kubwa zaidi yako naye akaaminiwa na kupewa tunda pia.

Vijana wa siku hizi tutalia sana kama hatumuwa makini na mapenzi, oooooh wanawake wamebadilika, kumbe tumeanza kubadilika sisi...

Mbna umepanic mkuu
 
I don't want nobody but me talking to you until you fall asleep
We better stop playing before we mess around and someone gets hurt
I don't want nobody but you kissing on my tattoos
Just seing you nursing your stress with August Alsina.
 
Ha ha ha ila kweli hizi mambo hizi shida sana .
 
Wimbo wa Ben Pol-Wapo na ule wa Linex-kipimo cha upendo usindikize uzi huu

Ukisikiliza nyimbo hizi aaaaah mbona maisha ya mapenzi easy tu
 
Best comment ever
Alokuambia mtuu ambae sio mwanandoa anakuwa na mchepuko nani..?
Aliyeoa akiwa na mtu mwingine mbali na mwanandoa huo ndo mchepuko kijana,usitupotezeee maana ya mchepuko.

Alafu wewe unajiona uko special sana kwa huyo mtu mpaka ujiaminishe uko peke yako bwa mkubwa..?

Ikiwa wewe umetumia mbinu zako ukawa umempata mwanamke ukala maini bila ya ndoa,hivi inashindikana vipi kwa mwingine akamjia mwanamke huyo akatumia njia zake naye akala maini bila ya ndoa..?

Unadhani unakitu special sana cha kumfanya yeye awakatae wengine ambao wanakuja na swaga kama zako au zaidi yako alafu awakatae kwa ajili yako wewe..?

No no no baba.sasa wewe umepata demu chuo tena umempata na kula siku hiyo hiyo au wiki hiyo hiyo tena bila ugumu wowote ule,hivi unategemea mwenzio akataliwe tu mkuu..?

Mwanamke anayekupa uchi kabla ya ndoakwa kigezo ati amekuaminibasi jua anauwezekano mkubwa wa kumuamini mwanaume mwingine naye akampa uchi kwa kigezo kama chako hicho cha kumuamini.

Unajiaminisha vipi kwamba anakupa peke yako?
Miongoni mwa dalili ya mwanamke mstaarabu ni kukunyima uchi kabla ya ndoa.

Mwanamke mwema hatakiwi kumuamini mwanaume yeyote asiyekuwa mumewe, ukiona mwanamke amekuamini wewe ambaye bado hujamuoa na akakupa tunda kabisa basi jua ana roho nyepesi zaidi ya ule wepesi wa wanawake na kuna uwezekano akaja mwingine na swaga kubwa zaidi yako naye akaaminiwa na kupewa tunda pia.

Vijana wa siku hizi tutalia sana kama hatumuwa makini na mapenzi, oooooh wanawake wamebadilika, kumbe tumeanza kubadilika sisi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom