Mtaani kuna pesa nyingi sana inayotafuta wahitaji

Hivi punde

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Messages
2,064
Points
2,000
Hivi punde

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2017
2,064 2,000
Sasa namuelewa sana JPM !

Jamani mtaani kuna pesa nyingi sana ambayo haina pa kwenda. Inatafuta mwenye uhitaji , ipo nyingi sana.

Ukiwa mbunifu (creative), mjanja na mhangaikaji hukosi pesa , tena nyingi tu. Ukiumiza kichwa ukachapa kazi (bila ubaguzi) unapata pesa tena kiulaini kabisa.

MAHINDI YA KUCHOMA

Hindi moja nimekuwa nikinunua kwa TZS 50 mpaka 100 shambani kulingana na wingi wake.

Nikishalifikisha mjini umbali wa 20 km nikalichoma , naliuza TZS 500 hadi 600.

Nikinunua mahindi 200 nitauza TZS 120, 000.

Matumizi:

Bei ya kununulia ni TZS 20,000 ; Usafiri 3,000 ; nauli yangu 3, 000 ; mkaa TZS 2,000. JUMLA YA MATUMIZI NI TZS 30,000 per day

Faida = 120,000 - 30,000 = 90,000 per day.

Kwa siku 20 = 1,800,000.

Endelea kudai kupandishwa madaraja na nyongeza ya mshahara mpaka Yesu arudi.
 
S

spleen

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Messages
1,670
Points
2,000
S

spleen

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2013
1,670 2,000
Ingekua hio ndio faida ya wauza mahindi kwa mwezi wasingekua wanafanya hio biashara......biashara ndogo ndogo nazifananisha Kama forex ukiwa huna risk management........unaanza vizuri full mafaida unapata maloss mtaji unakata,unaanza upya
 
bigmind

bigmind

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Messages
10,790
Points
2,000
bigmind

bigmind

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2015
10,790 2,000
Sasa namuelewa sana JPM !

Jamani mtaani kuna pesa nyingi sana ambayo haina pa kwenda. Inatafuta mwenye uhitaji , ipo nyingi sana.

Ukiwa mbunifu (creative), mjanja na mhangaikaji hukosi pesa , tena nyingi tu. Ukiumiza kichwa ukachapa kazi (bila ubaguzi) unapata pesa tena kiulaini kabisa.

MAHINDI YA KUCHOMA

Hindi moja nimekuwa nikinunua kwa TZS 50 mpaka 100 shambani kulingana na wingi wake.

Nikishalifikisha mjini umbali wa 20 km nikalichoma , naliuza TZS 500 hadi 600.

Nikinunua mahindi 200 nitauza TZS 120, 000.

Matumizi:

Bei ya kununulia ni TZS 20,000 ; Usafiri 3,000 ; nauli yangu 3, 000 ; mkaa TZS 2,000. JUMLA YA MATUMIZI NI TZS 30,000 per day

Faida = 120,000 - 30,000 = 90,000 per day.

Kwa siku 20 = 1,800,000.

Endelea kudai kupandishwa madaraja na nyongeza ya mshahara mpaka Yesu arudi.
Nimekuelewa sana, mkuu wacha tuwe matajili wajinga wapambana na Magufuri.
 
Abx

Abx

Senior Member
Joined
Oct 16, 2012
Messages
137
Points
225
Abx

Abx

Senior Member
Joined Oct 16, 2012
137 225
Hizi hesabu huwa zinatengeneza faida sana wakati wa kutengeneza idea, ila ukianza practice things are different, kwa faida hiyo kwa siku wengi tungekuwa tunauza mahindi, kwanini nikaajiliwe na kulipwa laki 5 wakati naweza kutengeneza mamilion kwa mwezi 90,000x30=2,700,000
 
Forum statistics

Threads 1,335,206
Members 512,271
Posts 32,499,010
Top