Mudiissa618
New Member
- Jan 24, 2020
- 2
- 1
Eti samahani wadau, mtu akipata 4 ya 26 katika ya Civics - C, History - D, Kiswahili - C, Bios - D, English - C na Geography D, hapo anatakiwa aende chuo gani na kusomea nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app