Executor
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 872
- 999
- Thread starter
- #121
Person of interest ni pasua kichwa, kuielewa naona inataka mtu makini sana nilijaribu icheki nikashindwa
Lost ni nzuri lakini kuelea mwisho sikuielewa na nimeona TVshow mpya ya The.I-Land. ni kama rip off ya Lost pia tazama Person of Interest (2011-2016). kama hukuwahi kuiona