Recent content by Abuu Ahmad

  1. Abuu Ahmad

    Kitu gani ulikutana nacho au kukifanya kwenye Interview ukajua ushakosa Kazi

    Nilikutana pisi cha ajabu interviewer Alikua anaongea nae na kucheka kabla ya interview Nkajua HII MBUNGI SITOBOIIII😀😀😀😀 NA KWELI
  2. Abuu Ahmad

    Huduma za Uvushaji wa MV Kigamboni zasitishwa

    Mwanaume una panda je kivuko sehemu pafupi hivyo
  3. Abuu Ahmad

    Kenya's COVID-19 cases rise to 3,094 as 105 more people test positive for the virus

    WATAPATA TABU SANAAAAAAA WANAJIONA WAMAREKAAAAANII HAYA TUTAWAONA TU WAKISHINDWA WAJE WACHUKUE MAUJANJA
  4. Abuu Ahmad

    Wafikishwa mahakamani kwa wizi wa zaidi ya Tsh. milioni 500

    Kwani part time ni mshahara? Elewa hao jamaaaa walikua ni wezi wanakua kua SERIKALI imewaajiri lkn chuo nacho kinawalipa mshahara so kwa mwezi mshahara 2 kazi 1
  5. Abuu Ahmad

    Askofu Dr Stephen Munga amuonya Kadinali Pengo: Kunyamaza wakati mwingine ni hekima

    Kuakaa kimya wakati mwengine ni hrkima HUYU MUNGA ANATABIA MBAYA WENZAO WATUWAZIMA WA HESHIMA WANAANDIKIANA BARUA AU HT KUALIKANA VYAKULA WANAAMBIANA UKWELI YANAISHA MAASKOFU WANAKOSOANA MITANDAONI MUNGA anatuketea mambo ya juma lokole huyu Huwezi kumuheshimu mtu afu unamkosoa mtandaoni...
  6. Abuu Ahmad

    Kwanini Migahawa ya Wakristo Tanzania haina chakula kizuri?

    Wasukuma watabe wa ugali Wapare watabe wa MAKANDE Wachaga wao mtori Wahaya ndizi tuu Jamii za watu km hawa watawezaje kupika pilau? Mwanamke anapika ugali anakula na mtindi afu afu anasifia mtamuuu Hajui kupika mboga huyu Ila pwani jamani tuwaaache tuuu Atakaebisha t Post hii...
  7. Abuu Ahmad

    Nay wa mitego: Mimi siimbagi uwongo, Mimba ya wema iliyeyuka, Ommy dimpoz tumesikia anapumuliwa,

    Afu mwanaume kuwa mbeambea kuuongeaongea ya watu ni ukike ukike Wanaume wanajulikana kwa mapene sio kwa umbeaumbea
  8. Abuu Ahmad

    Nay wa mitego: Mimi siimbagi uwongo, Mimba ya wema iliyeyuka, Ommy dimpoz tumesikia anapumuliwa,

    Huyu mtu asie kuwa na demu ndo ana pumuliwa? Labda alikatwa wakt anafanyiwa MC? au ana IMPOTENCE? km kutokua na demu unaliwa mapad**** tuwahisije? KM kuna ushahidi wa wazi anapumuliwa na fulani imethibit ok laa sivyo ni kumdhulumu hadhi ake.
  9. Abuu Ahmad

    Mchumba wangu, anatafuta mume J.F

    Mwanamke hatunzwi na vibaru Anatunzwa na kitanda Km kitanda chako kibovu atakukimbia tuu au achepukie kitanda cha nje
  10. Abuu Ahmad

    Mchumba wangu, anatafuta mume J.F

    Huyu jamaaa muongo Na km kweli basi huyo chura ataonwa na WACHINA
  11. Abuu Ahmad

    Erick Omondi aja na Saratina, Steve Nyerere tukupende kwa lipi?

    Ile risasi levo ya nchi gani? Manake mpk uaimamie kichwa ndo udondoke!!!
  12. Abuu Ahmad

    Kama ni kudondosha DNA sasa hii imezidi.

    Hahaha Kikisimama kinaiba akili ya kikubwa
  13. Abuu Ahmad

    Natafuta kazi ila nataka mwanamke, nitampa mahaba, masaji na kumfikisha kileleni

    JAMAA LANISHANGAZA KUTAFUTA kulelewa, Na ujumbe limepaza hivi huyu amelewa? Kwa mami wende jibanza Eti kisa kulelewa! Shida yako ipi kwanza Unataka kuolewa?
  14. Abuu Ahmad

    Ukikutwa umeidondosha Benzi chali unalipwa dola milioni mia

    Atakae pinduka na baiskeli ya PHOENIX matairi juuu atapewa 10000 Yuan Na kupwwa baiskeli mpyaa
Back
Top Bottom