Kama ni kudondosha DNA sasa hii imezidi.

Kama ni kudondosha DNA sasa hii imezidi.

ampangie chumba tu .. wakati anakatikia na kukojoa humo ndani alijua anaweka kwenye kibakuli au ? mpe hongera mwambie alee tu na atafute biashara sababu hakuna huruma
 
ampangie chumba tu .. wakati anakatikia na kukojoa humo ndani alijua anaweka kwenye kibakuli au ? mpe hongera mwambie alee tu na atafute biashara sababu hakuna huruma
Jamaa amechanganyikiwa yani anamuona kama Sir God hayuko side yake kabisa, namba haisomeki na matatizo yanaongezeka.
 
Haki ya nani nimehisi kama nakimbia mita mianane.. Nimetoka kapa
 
Jamaa amechanganyikiwa yani anamuona kama Sir God hayuko side yake kabisa, namba haisomeki na matatizo yanaongezeka.
mmh sina huruma kwa hao wakosaji wa hivi wacha dawa imuingie .. akubali kulea tu
 
Alee tu hiyo mimba ya housegirl, ampangishie chumba ili asimdhuru mtoto kama ni wake. Amtafutie mtaji afanye biashara ili atunze huyo mtoto. Hakuna namna hapo.
 
Amrudishe HG nyumbani kwa muda huku akijipanga kumrudisha mjini.
 
Housegirl anataka apartment? Hahahahaa ndio tatizo bhana wakati unakula unakua unafaidiiii hadi raha, na lile joto la HG hua halioni ndani kwa Mama mwenye Nyumba, HG mtamu jamani, usikie tu kwa mwenzio. sijui ni zile harufu zao??
hahaahaaaaa, kama nakuona vile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom