Recent content by Abrielle

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya simu

    Huawei P7 min na Sonny Experia Z1 na huawei P6 zinaweza kuwa bei gani?
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Rafiki wa Kike

    Mungu ana namna nyingi ya kukutanisha watu, utampata tu. all the best..!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Fungeni kwa kuonekana mwezi

    Nawatakia mfungo mwema, waislam wote, walioanza leo na watakaoanza kesho, kikubwa Amani. Ramadhan Kareem..!
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano

    All the best mpendwa, utampata tu usiogope kukatishwa tamaa.
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama wewe,utajisikiaje juu ya mkeo au mumeo

    Itabidi kwanza ujiulize, unaishi vp na mke wako. either kuna namna una mtreat ambayo ina msababisha asiwe comfortable.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi tarehe 27 Machi, 2014 - Uwasilishaji wa kanuni za Bunge

    Anahitaji msaada wa kisaikolojia.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Msusi wa yeboyebo

    Uko maeneo gani?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Unamshauri nini Ally Kiba? Mwambie lolote..

    Ajitambue, halafu achukue hatua. anaweza na watu anajua hilo.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Bei za Ving'amuzi Azamtv

    Uliyetuletea hii habari, tunaomba kujua channel zilizoko. Maana kuna tetesi kuwa ITV wamekataa kuwepo (sijui ni kweli au la)
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tangazo hili ni kiboko aiseeeeeeeeeeeee

    teh teh! mi nilifikiri inapatikana?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tazama picha jinsi mamba alivyo zua balaa baada ya kuingia chini ya kitanda hotelini

    Ama kweli Mawazo ya Mungu si kama ya mwanadamu.
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "You Are The Woman Of My Life"

    Wow! naamini yupo na atakusikia. all the best!
  13. A

    JamiiForums Tanzania Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat!

    hapo swali gumu ame solve vp?
  14. A

    JamiiForums Tanzania Duh jide bhaaaaaas,mwacheni anaconda

    No one is perfect na siku zote ukweli una nguvu. Hongera Jide, sio siri unafanya vizuri katika kazi zako. hayo mengine ni ubinadamu tu na yataisha.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Tazama picha 22 zikionyesha mwili wa Albert Mangwea ukisubiriwa kupokelewa hivi sasa

    Aisee..! so sad. Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe. Poleni wote mlioguswa na msiba huu. Mungu awape faraja.
Back
Top Bottom