Kwa mahitaji ya simu

Kwa mahitaji ya simu

Biashara nzuri na ya kweli ni ile inayofanyika kwa uwazi na kila mmoja aijue, hizi biashara za pm huwa siziamini sana any naomba kujua bei ya samsung galaxy s3&s4

Mkuu salaam kwako. Nafahamu wazoefu wa biashara hawawez wakawa na tatizo na hii format,mwisho wa siku utaomba nikuonyeshe hadi kiwanda na hadi mkataba wa biashara. Naomba uzoee kahali haka.nimeku pm na wewe
 
Hujui biashara. Tafuta coz ya ujasiria mali huko china. Mambo ya ku pm ni nini? Akitokea mtu akalipa then uumpe bidhaa baadae natembea uchi tz nzima
 
Hapana mkuu yawezekana
hujanielewa kidogo. Mtaji ninao na ndio maana ninauwezo wa kununua mzigo
nitakao pewa order kabla hela yako haija fika mkononi kwangu. Ishu ni
kuwa utalipia bongo kwanza, then siku 2-3 ndio unapata mzigo wako, hii
inatokana na kuwa hzo siku mbili ni 3 ni zakusafiri mzigo. Na malipo
kabla ya bidhaa hiyo ni defense kwangu kutoka kwa usumbufu wa kuleta
mzigo afu mtu asiulipie.
Uaminifu ndio kipaumbele

naomba mawasiliano yako tufante biashara;please including mobile number and e mail;mine is:0784413039
 
Hujui biashara. Tafuta coz ya ujasiria mali huko china. Mambo ya ku pm ni nini? Akitokea mtu akalipa then uumpe bidhaa baadae natembea uchi tz nzima

Hahahahaha, mkuu! Sijakushangaa lakn! Kwakuwa umeenda supermarket siku mbili hizi ukajua kla sehemu bei wanabandka! Ooooh, ni maoni yako. Nashukuru lakn. Karibu sana
 
Kwahiyo bei zinakuaje? Kama shop au kidogo zinapungua?

Mfano simu inayouzwa huko China shop US $100. Hafu mtumba hiyo hiyo ikauzwa US $70 huko China, ukizileta Tanzania utauzaje? Ku-include usafirishaji na faida?

Natafuta Xiaomi Mi3 na Lumia kati ya hizi: 1020, 1520, 920. Napendelea used coz bei am sure itakua cheap SANA.
 
Salaam zako mkuu. Ninauza bei juu kdogo ya bei ya dukan,chin mno kwa bei za dukan huko Tanzania. Karbu sana mkuu
 
Asanten sana kwa mlioniamin na tumeanza kaz. Had kufkia jmos mizgo yote itakuwa imefka. Just fika ofsin ulipe balance then chukua mali yako na furahia ubora wake.
SOME ENJOY THE RAIN WHILE OTHERS GET WET
 
Samahan kama nitakukwaza ila ni maon yangu tu haya:-
1. Biashara yako unaifanya kwa kificho sana hata ofisi yako ilipo hutaki kusema au TRA wataleta shida
2.Bei inapokuwa wazi unavutia wateja wengine. asume mie najua samsung galaxy s5 inauzwa 1.3M tsh original, mie sina uwezo wa kununua...wewe ukaweka bei yako ni 0.9M Tsh, itanifanya nibadil mawazo.

so weka bei zako wavuta wateja zaidi,,,vinginevyo labda huitaji wateja wengi..

Hii ya kuitana vichochoron (pm) inaweza leta hisia ya utapeli so watu wakaogopa kujitokeza na kuzama kariakoo

haya ni maon yangu tu
 
Nashukuru sana mkuu. Naweka price update leo hii. Kaa mkao wa kula. Kuhusu ofisi ipo mtaa wa msimbaz kariakoo.
 
UPDATES WAKUU
salaam za dhat wakuu. Nashukuru sana kwa mawazo yenu yakutaka niweke mambo hadharan, na mm bila ajizi natiririka kama ifuatavyo
Galaxy s1-190000
Galaxy s2-300000
Galaxy s3-410000
Galaxy s4-570000
Galaxy note 1-300000
Galaxy note 2-500000
Galaxy note 3-810000

HTC one v-300000
HTC one s-330000
HTC one x- 420000
HTC one- 650000
 
WhatsApp +8613250770927

Je Samsung galaxy s5 sh ngap? nipe ramani kamili ya maeneo lilipo duka lako na je limeandikwaje? sihitaji PM tafadhali,biashara hadharani.
 
Back
Top Bottom