Fungeni kwa kuonekana mwezi

Fungeni kwa kuonekana mwezi

Al-hamdulilah! Sasa naanza kula futari kwa buku jelo! Huhuhuuu!
 
Nawatakia mfungo mwema, waislam wote, walioanza leo na watakaoanza kesho, kikubwa Amani. Ramadhan Kareem..!
 
Asalam alaykum

HII NI TAARIFA YA JANA 27/6/2014 MAJIRA YA SAA 23:00 USIKU NILITUMIWA
Mwezi umeonekana Yemen na kwenye maeneo ya
Isiyolo na anahojiwa mtu Radio iman Tz, na Kenya
sheikh aliyeona anaitwa Sheikh Abdulazizi, ni
mdiri wa madrasa ya al salah, na mwingine ni
Abdullah Is-haka, 0720255517, na Abdullahi
Karam, 0721763704, hawa ni wa Kenya masjid
kambi garva, Salat 0702085623 unaweza ongea na
hawa waliouona maeneo ya Isiyolo. Hapa mjini
Morogoro tarawehe inaendelea Masjid Haqi.
Ramadhan kareem.
 
Ramadhan Kareem 🙂
 
Mimi nangoja uonekane Tanzania au zikamilike siku 30 za Shaaban.

Nshapiga bajia zangu za kunde saa hizi na chatni la nazi na chai la viungo 8.

hapo mwenyewe unasubiri kujamba tuu sipati picha shuzi lake..
 
Back
Top Bottom